Yanga face Stand United hurdle
Young Africans return to domestic league action today with a date against Stand United at the National Stadium.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen20 Dec
Yanga put 4 past Stand United
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Video ya magoli ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015! Full Time 4-0
December 19 2015 ilikuwa siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa soka la bongo, kwani ndio siku ambayo ulipigwa ule mchezo wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Yanga dhidi ya Stand United uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Hadi dakika 90 zinamalizika Yanga 4 – 0 Stand United, Matokeo ambayo yaliifanya Yanga kutimiza jumla ya point 30 na kuendelea […]
The post Video ya magoli ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015! Full Time 4-0 appeared first on...
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015
December 19 2015 kwenye game ya ligi kuu Tanzania bara Yanga vs Stand United uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ambapo hadi dakika 90 zinamalizika Yanga 4 – 0 Stand United, Matokeo ambayo yaliifanya Yanga kutimiza jumla ya point 30 na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi, tazama hii video hapa chini ujionee magoli yote… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015 appeared first on...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Video yenye magoli yote manne ya Yanga vs Stand United ninayo hapa
Kama ulikua busy na weekend iliyopita moja ya mechi zilizokupita ni pamoja na ya Yanga vs Stand United, nimekurekodia magoli yote kwenye hii video hapa chini utayaona…. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa […]
The post Video yenye magoli yote manne ya Yanga vs Stand United ninayo hapa appeared first on...
9 years ago
TheCitizen24 Nov
Stars eye Rwanda fall as Z'bar face cranes hurdle
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Mbwembwe za Stand United
Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.
9 years ago
TheCitizen30 Dec
Maguri to leave Stand United
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-JI2rJX5ULKE/VV8mpZV6K8I/AAAAAAAA96w/i--9j8SCPLY/s72-c/MPIRA.jpg)
TAARIFA KUTOKA STAND UNITED FC
![](http://1.bp.blogspot.com/-JI2rJX5ULKE/VV8mpZV6K8I/AAAAAAAA96w/i--9j8SCPLY/s320/MPIRA.jpg)
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati kwetu katika michezo yetu ya ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014-2015 iliomalizika tarehe 9/05/2015.
Tunasema asanteni sana kwa michango yenu ya hali namali,kifedha,kimawazo na ushauri pia,na hasa katika kipindi kigumu ambacho tumepitia.
Ulikuwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki katika...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Liewig aibukia Stand United