Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Straika wa England atua Yanga, aanza mazoezi

Na Sweetbert Lukonge
YANGA kweli ngoma inogile! Ndivyo unaweza kusema, baada ya mshambuliaji mwingine kutua klabuni hapo akitokea England na kisha kuanza mazoezi chini ya Kocha Marcio Maximo. Mshambuliaji mpya wa Yanga aliyekuwa akikipiga katika timu ya Coventry City ya England Suleiman Abdallah Mbarouk. Mshambuliaji huyo raia wa Tanzania ambaye amekuwa akicheza soka England kwa miaka mingi, Suleiman Abdallah Mbarouk,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Straika wa Chelsea atua Yanga

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Seleman Abdallah Mbaruku, akiwa katika mazoezi ya timu ya Yanga jana kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam. Picha na John Dande

Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Seleman Abdallah Mbaruku, akiwa katika mazoezi ya timu ya Yanga jana kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam. Picha na John Dande

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam

MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Chelsea ya England, Seleman Abdallah Mbaruku, ametua jana ndani ya kikosi cha Yanga kufanya majaribio ili kusajiliwa na timu hiyo.

Mbaruku amewahi kuichezea timu ya watoto ya Chelsea alipokuwa na umri wa miaka saba na nane, kabla ya kuhamia...

 

10 years ago

GPL

EMERSON AANZA MAZOEZI YANGA

Kiungo Mbrazil Emerson de Oliveira (wa pili kutoka kulia) akiwa mazoezini leo asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar. Wengine ni Hamis Kiiza, Hussein Javu na Coutinho. (Picha na Yanga SC) BAADA ya kuwasili jana kutoka nchini Brazil, kiungo mkabaji Emerson de Oliveira Neves Roque leo ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam kufuatia kusaifri kwa zaidi ya masaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Andrey Countinho aanza mazoezi Yanga.

Mbrazil wa Yanga, Andrey Countinho ameanza mazoezi mepesi .

 

11 years ago

GPL

MBRAZIL MWINGINE WA YANGA AANZA MAZOEZI YA NGUVU

Wabrazil, Andrey Coutinho na Jaja (nyuma yake) wakijifua na wachezaji wenzao wa Yanga.
Jaja akiwa mbele ya wachezaji wenzake.
Ilifikia wakati wa kuzunguka uwanja.…

 

11 years ago

Mwananchi

MAZOEZI DAKIKA 120: Maximo aanza kwa kishindo Yanga

>Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo ameanza kazi yake kwa kishindo jana asubuhi na jioni kwa kuwakimbiza wachezaji wake kwa saa mbili kwenye ufukwe wa Coco na Uwanja wa Bandari, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

Straika atua Simba kwa ndege

Kikosi cha timu ya Mbeya City. Martha Mboma na Nicodemus Jonas
KUONYESHA kuwa inajipanga kwa ajili ya kufanya kweli msimu ujao, Simba imeanza michakato ya usajili kwa nguvu zote ambapo imeamua kulipa nauli ya ndege kwa mshambuliaji wa Mbeya City, Saady Kipanga ikiwa ni sehemu ya kumshawishi atue klabuni hapo. Kipanga ambaye alionyesha kiwango kizuri msimu uliomalizika hivi karibuni kwenye kikosi cha Mbeya City, amekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi amwondoa straika msomi Yanga

>Ujio wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Emmanuel Okwi umemuweka njia panda msomi wa timu hiyo, Reliants Lusajo aliyetua kuichezea timu hiyo kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

GPL

Straika Yanga atangaza kwenda Stand

Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi. Martha Mboma na Saphyna Mlawa
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Said Bahanuzi, amefunguka kuwa, yupo tayari kwenda kuitumikia Stand United.
Mshambuliaji huyo amesema yeye hana kikwazo endapo tu timu hizo mbili zitakubaliana. Straika huyo kwa sasa hana nafasi katika kikosi cha Yanga ambayo alijiunga nayo akitokea Mtibwa Sugar.
Akizungumza na Championi Jumatano, Bahanuzi alisema yupo tayari kwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani