Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EMERSON AANZA MAZOEZI YANGA

Kiungo Mbrazil Emerson de Oliveira (wa pili kutoka kulia) akiwa mazoezini leo asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar. Wengine ni Hamis Kiiza, Hussein Javu na Coutinho. (Picha na Yanga SC) BAADA ya kuwasili jana kutoka nchini Brazil, kiungo mkabaji Emerson de Oliveira Neves Roque leo ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam kufuatia kusaifri kwa zaidi ya masaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

EMERSON AANZA KUJIFUA YANGA

Kiungo Mbrazil Emerson de Oliveira (wa pili kutoka kulia) akiwa mazoezini leo asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar. Wengine ni Hamis Kiiza, Hussein Javu na Coutinho. (Picha na Yanga SC)
BAADA ya kuwasili jana kutoka nchini Brazil, kiungo mkabaji Emerson de Oliveira Neves Roque leo ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam kufuatia kusaifri kwa zaidi ya masaa 11 kutoka jijini Rio de Janeiro.

Emerson ameungana na wachezaji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Andrey Countinho aanza mazoezi Yanga.

Mbrazil wa Yanga, Andrey Countinho ameanza mazoezi mepesi .

 

11 years ago

GPL

MBRAZIL MWINGINE WA YANGA AANZA MAZOEZI YA NGUVU

Wabrazil, Andrey Coutinho na Jaja (nyuma yake) wakijifua na wachezaji wenzao wa Yanga.
Jaja akiwa mbele ya wachezaji wenzake.
Ilifikia wakati wa kuzunguka uwanja.…

 

11 years ago

GPL

Straika wa England atua Yanga, aanza mazoezi

Na Sweetbert Lukonge
YANGA kweli ngoma inogile! Ndivyo unaweza kusema, baada ya mshambuliaji mwingine kutua klabuni hapo akitokea England na kisha kuanza mazoezi chini ya Kocha Marcio Maximo. Mshambuliaji mpya wa Yanga aliyekuwa akikipiga katika timu ya Coventry City ya England Suleiman Abdallah Mbarouk. Mshambuliaji huyo raia wa Tanzania ambaye amekuwa akicheza soka England kwa miaka mingi, Suleiman Abdallah Mbarouk,...

 

11 years ago

Mwananchi

MAZOEZI DAKIKA 120: Maximo aanza kwa kishindo Yanga

>Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo ameanza kazi yake kwa kishindo jana asubuhi na jioni kwa kuwakimbiza wachezaji wake kwa saa mbili kwenye ufukwe wa Coco na Uwanja wa Bandari, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

EMERSON ASAINI YANGA

Kiungo mbrazil Emerson De Oliviera Neves Roque (kushoto) akisaini mkataba leo wa kuitumikia klabu ya Young Africans, kulia ni Afisa Habari wa klabu Baraka Kizuguto. Kiungo Emerson De Oliveira Neves Roque leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu ya Young Africans baada ya benchi la ufundi kuridhika na uwezo wake,na mchezaji mwenyewe kufikia makubaliano hayo ya kuwatumikia watoto wa Jangwani. Baada ya kufanya mazoezi...

 

10 years ago

GPL

DE GEA AANZA MAZOEZI NA MAN UTD

Kipa wa Manchester Utd, David de Gea akifanya mazoezi. Wayne Rooney (kushoto) na Michael Carrick (kulia) wakiwaongoza wenzao kupasha katika Uwanja wa Seattle, Amerika.…

 

10 years ago

Mwananchi

Emerson apewa mkataba Yanga

Klabu ya Yanga imempa mkataba wa mwaka mmoja kiungo mkabaji, raia wa Brazil, Emerson de Oliveira Neves Roque baada ya kufuzu majaribio.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani