Stand, Prisons wazitishia nyau Yanga, Simba
Makocha, Emmanuel Massawe wa Stand United na David Mwamaja wa Tanzania Prisons wamesema hawana presha na mechi watakazocheza Jumamosi dhidi ya Yanga na Simba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Sep
Yanga yaitishia nyau Simba
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga jana waliendelea kutoa dozi katika ligi hiyo baada ya kuwafunga maafande wa JKT Ruvu kwa mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Niyonzima aitishia nyau Yanga
10 years ago
Mwananchi12 May
Yanga yaitishia nyau TFF
11 years ago
TheCitizen10 Mar
Simba SC, Prisons fire blanks
9 years ago
Habarileo24 Oct
Prisons wazua jambo Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema pamoja na kipigo walichopokea kutoka kwa Prisons Jumatano iliyopita, lakini bado ana matumaini ya kubeba ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu na kwamba kimempa nafasi kukifanyia mabadiliko makubwa kikosi chake.
10 years ago
Vijimambo28 Sep
YANGA YAICHAPA 2-1 PRISONS
![](http://www.youngafricans.co.tz/images/stories/vplprsns.jpg)
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeipata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL baada ya kuichapa timu ya maafande wa jeshi la Magereza nchini Prisons kwa mabao 2- 0 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo kiliingia uwanjani kwa lengo la kusaka pointi muhimu kutokana na kuwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya...
10 years ago
StarTV30 Sep
Yanga yaipiga Prisons 2-1.
YANGA jana ilipata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara kwa kuilaza Prisons ya Mbeya mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Timu hiyo imepata ushindi huo baada ya kupoteza mechi ya kwanza ugenini kwa kufungwa mabao 2-0 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga jana alikuwa Mbrazil Andrey Coutinho kwa mpira wa adhabu nje ya 18. Mwamuzi wa mchezo huo alitoa adhabu baada ya Coutinho kufanyiwa madhambi na mabeki...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...