Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaipiga Prisons 2-1.

YANGA jana ilipata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara kwa kuilaza Prisons ya Mbeya mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Timu hiyo imepata ushindi huo baada ya kupoteza mechi ya kwanza ugenini kwa kufungwa mabao 2-0 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga jana alikuwa Mbrazil Andrey Coutinho kwa mpira wa adhabu nje ya 18. Mwamuzi wa mchezo huo alitoa adhabu baada ya Coutinho kufanyiwa madhambi na mabeki...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU: Simba yaipiga ‘mkono’ Prisons

>Ushindi mnono wa mabao  5-0 dhidi ya Prisons ya Mbeya kwenye Ligi Kuu umeipa faraja Simba na pengine utazima vurugu zilizokuwa zikihisiwa kutokea  kwenye mkutano mkuu wa wanachama leo kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YAIPIGA POLISI KOMBAINI 3-0

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya Kombaini ya Polisi,  Salmin Kiss akijaribu kumzuia katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-0. (Picha na Francis Dande)
 Golikipa wa Polisi Kombaini, Kondo Sulum akiokoa moja ya hatari langoni mwake.

Golikipa wa Polisi Kombaini, Kondo Sulum akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiruka daluga la beki wa timu ya Kombaini...

 

11 years ago

Vijimambo

YANGA YAICHAPA 2-1 PRISONS

Kikosi cha Young Africans kilichoanza leo dhidi ya Tanzania Prisons
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeipata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL baada ya kuichapa timu ya maafande wa jeshi la Magereza nchini Prisons kwa mabao 2- 0 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo kiliingia uwanjani kwa lengo la kusaka pointi muhimu kutokana na kuwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaivaa Prisons leo

‘Kutenda kosa si kosa, ila kosa kurudia kosa...’ hiyo ni kauli mbio ya Yanga watakaposhuka leo kwenye Uwanja wa Taifa, kuwakaribisha Tanzania Prisons, huku JKT Ruvu wataonyeshana kazi na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yainyuka Prisons kwao

Mabingwa wa Ligi Kuu, Yanga wameendelea kugawa dozi mkoani Mbeya baada ya jana kuichapa Tanzania Prisons kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine.

 

11 years ago

GPL

YANGA WAIKANDAMIZA PRISONS 2-1 TAIFA

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana 'Jaja' akimpongeza mwenzake Andrew Coutinho (wa kwanza kushoto) aliyeifungia Yanga bao la kwanza dhidi ya Prisons katika Uwanja wa Taifa, Dar leo. Mchezaji wa Yanga, Andrew Coutinho akijaribu kuipita ngome ya Prisons.…

 

10 years ago

Mwananchi

Tambo tupu mtifuano Yanga, Prisons

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema wapo Mbeya siyo kutalii, bali kuondoka na pointi sita wakianzia kesho dhidi ya Tanzania Prisons na kumaliza kazi Jumapili kwa Mbeya City.

 

11 years ago

GPL

YANGA YAFANYA MAUAJI TAIFA, YAIGONGA PRISONS 5 - 0

Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya leo. Kikosi cha Prisons kilichokula 5-0 leo taifa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani