YANGA YAIPIGA POLISI KOMBAINI 3-0
![](http://4.bp.blogspot.com/-oveb8xagyJE/VaKW-iZRdRI/AAAAAAABda0/6724UIZsUiQ/s72-c/Donal%2BNgoma%2Bakichuana%2Bna%2Bbeki%2Bwa%2Btimu%2Bya%2BKombaini%2Bya%2BPolisi%2BSalmin%2BKiss.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya Kombaini ya Polisi, Salmin Kiss akijaribu kumzuia katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-0. (Picha na Francis Dande)
Golikipa wa Polisi Kombaini, Kondo Sulum akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Golikipa wa Polisi Kombaini, Kondo Sulum akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiruka daluga la beki wa timu ya Kombaini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV30 Sep
Yanga yaipiga Prisons 2-1.
YANGA jana ilipata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara kwa kuilaza Prisons ya Mbeya mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Timu hiyo imepata ushindi huo baada ya kupoteza mechi ya kwanza ugenini kwa kufungwa mabao 2-0 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga jana alikuwa Mbrazil Andrey Coutinho kwa mpira wa adhabu nje ya 18. Mwamuzi wa mchezo huo alitoa adhabu baada ya Coutinho kufanyiwa madhambi na mabeki...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0d_gTJfeQ6A/VZBYuN7EW6I/AAAAAAAHlSo/A91653-BzCo/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
U-15 YAICHAPA 3-0, KOMBAINI YA MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-0d_gTJfeQ6A/VZBYuN7EW6I/AAAAAAAHlSo/A91653-BzCo/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Katika mchezo huo uliohudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi dakika 45 za kwanza zilimalizika U15 wakiwa mbele kwa bao 1-0.
Bao hilo lilifungwa na mshambuliaji Timoth Maziku dakika ya 17 kwa guu la kulia akimalizia krosi ya Nahodha Issa Abdi.
![](http://3.bp.blogspot.com/--7PzqrlDV9Y/VZBYuKbl2FI/AAAAAAAHlSk/kmHSX-J8Avs/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Mbeya City yawafunza soka Nakonde Kombaini Zambia
TIMU ya soka ya Mbeya City inayojiandaa na Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Septemba 20, juzi iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kombaini ya Mjini Nakonde, Zambia katika...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hzk5bnKhqKc/VTvdfmS6HTI/AAAAAAAHTQ0/veHQJ4RgF-g/s72-c/5909_629985427014340_1747130641_n.jpg)
Dar City kukipiga na Kombaini ya Vikawe, Kibaha Mkoani Pwani
![](http://3.bp.blogspot.com/-hzk5bnKhqKc/VTvdfmS6HTI/AAAAAAAHTQ0/veHQJ4RgF-g/s1600/5909_629985427014340_1747130641_n.jpg)
Kwa mujibu wa mratibu wa mchezo huo, Athuman Tippo ‘Zizzou’, mchezo umeandaliwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha michezo mkoani Pwani.
Tippo alisema kikosi cha Dar City kitajumuisha pia baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na kubainisha kuwa mechi hiyo itachezwa kesho...
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Polisi kutibua sherehe ya Yanga?
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Yanga, Polisi Moro wachimbana mkwara