YANGA WAIKANDAMIZA PRISONS 2-1 TAIFA
Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana 'Jaja' akimpongeza mwenzake Andrew Coutinho (wa kwanza kushoto) aliyeifungia Yanga bao la kwanza dhidi ya Prisons katika Uwanja wa Taifa, Dar leo. Mchezaji wa Yanga, Andrew Coutinho akijaribu kuipita ngome ya Prisons.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLYANGA YAFANYA MAUAJI TAIFA, YAIGONGA PRISONS 5 - 0
10 years ago
Vijimambo28 Sep
YANGA YAICHAPA 2-1 PRISONS
![](http://www.youngafricans.co.tz/images/stories/vplprsns.jpg)
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeipata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL baada ya kuichapa timu ya maafande wa jeshi la Magereza nchini Prisons kwa mabao 2- 0 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo kiliingia uwanjani kwa lengo la kusaka pointi muhimu kutokana na kuwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya...
10 years ago
StarTV30 Sep
Yanga yaipiga Prisons 2-1.
YANGA jana ilipata ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara kwa kuilaza Prisons ya Mbeya mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Timu hiyo imepata ushindi huo baada ya kupoteza mechi ya kwanza ugenini kwa kufungwa mabao 2-0 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga jana alikuwa Mbrazil Andrey Coutinho kwa mpira wa adhabu nje ya 18. Mwamuzi wa mchezo huo alitoa adhabu baada ya Coutinho kufanyiwa madhambi na mabeki...
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Yanga yaivaa Prisons leo
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Yanga yainyuka Prisons kwao