MAKATIBU WA CCM VUNJO WATAKA KUBWAGA MANYANGA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-LFlMpSmOZew/VFiv_vt5V-I/AAAAAAACuVo/h6NbULc5Ekc/s72-c/IMG_4530.jpg)
MAKATIBU wa Kata wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Moshi Vijijini wametishia kubwaga manyanga na kurudisha kadi zao ikiwa Katibu wao wa Wilaya ataendelea na jitihada za kutaka kukigawa chama kwa kumuandaa mtu wake kwa ajili ya kugombea Ubunge mwaka 2015.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, viongozi hao ngazi ya kata katika wilaya ya Moshi vijijini, walisema migogoro na malumbano ndani ya CCM imekuwa chanzo cha wapinzani kushinda kiurahisi katika Jimbo la Vunjo. Mmoja wa viongozi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Kocha wa Dortmund kubwaga manyanga.
10 years ago
BBCSwahili28 May
Advocaat kubwaga manyanga,Sunderland
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Kocha Toto atangaza kubwaga manyanga
10 years ago
MichuziMAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Makatibu Vunjo watishia kurudisha kadi
MAKATIBU wa Kata wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Vijijini, wametishia kubwaga manyanga na kurudisha kadi zao ikiwa Katibu wao wa Wilaya ataendelea na jitihada za kutaka kukigawa...
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yH5rTfyjFA8/Va-A_XtUkII/AAAAAAAHrA0/Vdfh-sdz7hg/s640/2.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-fhPkHxi7tCQ/VZDjz7gZQHI/AAAAAAAAgLM/cugcqdqqpXc/s72-c/1.png)
KUMEKUCHA CCM,MKAPA,MWINYI WAJITOSA "KUCHINJA" MAJINA YA WATAKA URAIS CCM,
![](http://3.bp.blogspot.com/-fhPkHxi7tCQ/VZDjz7gZQHI/AAAAAAAAgLM/cugcqdqqpXc/s640/1.png)
Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya kamati kuu ya chama mapinduzi CCM akijakutana kwa ajili ya “kufyeka” majina 37 kati ya 42 ya makada wake waliojitokeza na kuwania Urais ndani ya chama hicho,sasa jukumu lingine lawaangukia viongozi wastaafu wa chama hicho.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.Viongozi hao ambao ni marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa ambao wote kwa pamoja wataunda Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kufanya kikao wakati wowote wiki hii...
10 years ago
Habarileo17 Oct
Kamati Kuu CCM yateua makatibu 27
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeendelea na kikao mjini hapa ambapo moja ya ajenda za kikao hicho ni kujadili mwenendo mzima wa mchakato wa Katiba mpya. Pia Kamati hiyo imewateua makatibu 27 wa wilaya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo na kustaafu, lakini lengo kuu likiwa kukiimarisha chama kuanzia ngazi za chini.