Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA

Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Moshi vijijini  ,Hussein Jamal akizungumza wakati wa kikao cha makatibu kata na makatibu wa matawi kilichofanyika katika hotel ya King Size Himo.Mwenyekiti wa Makatibu katika jimbo la Vunjo ,Shaban Mwangi akisoma taarifa ambayo inadaiwa kupikwa kwa lengo la kukivuruga chama hicho katika jimbo la Vunjo.Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakati wa kikao hicho ambacho kilijadili pia tuhuma zilizotolewa dhidi yake.Naibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KATIBU MKUU WA CCM DK. BASHIRU AWAONYA MAKATIBU WA WILAYA, MIKOA WANAOZEMBEA KUANDAA VITAMBULISHO VYA WENYEVITI WA MASHINA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally akipata chakula cha mchana nyumbani kwa Mwenyekiti wa Shina moja la CCM akuwa katika ziara ya kikazi mkoani Morogoro. 


Februari 15, 2020
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa onyo kwa Makatibu wa CCM wa Mikoa na Wilaya ambao hawajatekeleza agizo la kuandaa vitambulisho kwa ajili ya Wenyeviti wa mashina (Mabalozi) katika maeneo yao.

Dkt. Bashiru ametoa onyo hilo kutokana na kuwepo kwa taarifa ya baadhi ya Watendaji...

 

10 years ago

Michuzi

MAKATIBU WA CCM VUNJO WATAKA KUBWAGA MANYANGA.

 MAKATIBU wa Kata wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Moshi Vijijini wametishia kubwaga manyanga na kurudisha kadi zao ikiwa Katibu wao wa Wilaya ataendelea na jitihada za kutaka kukigawa chama kwa kumuandaa mtu wake kwa ajili ya kugombea Ubunge mwaka 2015.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, viongozi hao ngazi ya kata katika wilaya ya Moshi vijijini, walisema migogoro na malumbano ndani ya CCM imekuwa chanzo cha wapinzani kushinda kiurahisi katika Jimbo la Vunjo.  Mmoja wa viongozi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.” Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

10 years ago

StarTV

CCM yatefanya uteuzi wa makatibu wa Wilaya 27.

Na Blaya Moses, Dodoma.

 

Kamati kuu ya chama cha mapinduzi ccm imeendelea na kikao chake mjini dodoma kwa kuwateua makatibu wa wilaya ishirinini na saba kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo wengine kufariki dunia na kumaliza muda wao wa utumishi ndani ya chama

 

Aidha kikao hicho pia kimejadili namna chama hicho kitakavyojipanga ili kuhakikisha kinaibuka na ushindi katika uchaguzi wa seriakli za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Dewji Blog

27 wateuliwa kuwa makatibu wa CCM wilaya

3

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Vijimambo

27 WATEULIWA KUWA MAKATIBU WAPYA WA CCM WILAYA



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO

   Wananchi wa Kata ya Makuyuni wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye aliwaambia kwa miaka mingi sasa jimbo la Vunjo limekuwa linarudishwa nyuma na ushabiki wa kisiasa na kuwataka wananchi hao kufanya maamuzi sahihi mwaka huu kwa kuichagua CCM.Ndugu Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya siku tisa mkoani Kilimanjaro ya Kutekeleza,Kukagua na Kuhimiza Utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2010. katibu Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. BASHIRU ATOA ONYO KWA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA NA MIKOA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa onyo kwa Makatibu wa CCM wa Mikoa na Wilaya ambao hawajatekeleza agizo la kuandaa vitambulisho kwa ajili ya Wenyeviti wa mashina (Mabalozi) katika maeneo yao.

Dkt. Bashiru ametoa onyo hilo kutokana na kuwepo kwa taarifa ya baadhi ya Watendaji wa Mikoa na Wilaya kutotilia mkazo maagizo hayo yanayolenga kuwajali na kuwaweka karibu mabalozi wa mashina ambao ndio viungo muhimu na wanafanya kazi kubwa ya kukiletea ushindi Chama Cha...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI CHIKAWE AKABIDHI PIKIPIKI 35 KWA MAKATIBU KATA WA CCM WILAYA YA NACHINGWEA LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kushoto) akimkabidhi kadi ya pikipiki Mwenyekiti wa Makatibu Kata wa CCM Wilaya ya Nachingwea, Ally Napepa. Waziri Chikawe alikabidhi pikipiki 35 kwa makatibu kata wilayani humo kwa ajili kazi ya uendeshaji wa shughuli za chama ikiwemo kuwahamasisha wananchi katika kata zao kujiandisha ili kuipigia kura ya ndiyo Katiba iliyopendekwa na Bunge, pamoja na kujiandaa na uchaguzi Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani