Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha wa Dortmund kubwaga manyanga.

Kocha wa klabu ya soka ya Ujerumani Borrusia Dortmund Jurgen Klopp, atasitisha mkataba wake na timu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kocha Toto atangaza kubwaga manyanga

Kocha Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics amepanga kuachia ngazi kutokana na kuchoshwa na hali ya mambo inavyoenda ndani ya klabu hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Advocaat kubwaga manyanga,Sunderland

Kocha wa timu ya soka Sunderland ya England, Dick Advocaat ametangaza kubwaga manyanga kuendelea kuifundisha klabu hiyo

 

10 years ago

Michuzi

MAKATIBU WA CCM VUNJO WATAKA KUBWAGA MANYANGA.

 MAKATIBU wa Kata wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Moshi Vijijini wametishia kubwaga manyanga na kurudisha kadi zao ikiwa Katibu wao wa Wilaya ataendelea na jitihada za kutaka kukigawa chama kwa kumuandaa mtu wake kwa ajili ya kugombea Ubunge mwaka 2015.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, viongozi hao ngazi ya kata katika wilaya ya Moshi vijijini, walisema migogoro na malumbano ndani ya CCM imekuwa chanzo cha wapinzani kushinda kiurahisi katika Jimbo la Vunjo.  Mmoja wa viongozi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Dortmund kuihama kilabu hiyo

Kocha wa kilabu ya Borrusia Dortmund Jurgen Klopp amesema ataondoka katika kilabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUTANGAZA KUACHIA NGAZI KWA KOCHA BORUSSIA DORTMUND WENGER TUMBO JOTO


JURGEN KLOPP

Jurgen Klopp kocha wa Borussia Dortmund ametangaza kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo  ya Ujerman, Jurgen mwenye umri wa miaka 47 amekuwa kocha wa Borussia kwa miaka saba na kuiwezesha kutwaa ubigwa wa Bundesliga mara mbili na pia kuiwezesha timu hiyo kuingia fainali za Club bingwa Ulaya mara moja. Jurgen katangaza nia hiyo ya kuachana na timu hiyo baada ya ligi kumalizika na anatamani kufundisha moja ya timu za ligi ya Barclay Premier League  na baada ya kusikia hivyo kocha wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kikwete abwaga manyanga

HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete amekubaliana na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwamba Bunge Maalumu la Katiba, liishie Oktoba 4, 2014. Kurejea kwa bunge hilo kutategemea ridhaa ya rais...

 

11 years ago

Mwananchi

Pluijm abwaga manyanga

>Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm amebwaga manyanga kuendelea kuinoa timu hiyo baada ya kupata ‘ofa’ ya kuinoa klabu ya Al Shoala Sports ya Saudi Arabia.

 

9 years ago

Habarileo

Matola abwaga manyanga Simba

HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.

 

10 years ago

BBCSwahili

Paulo Wanchope abwaga manyanga

Meneja wa timu ya taifa ya Costa Rica amebwaga manyanga siku moja baada ya kuhusika na tukio la kupigana huko Panama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani