Kocha wa Dortmund kuihama kilabu hiyo
Kocha wa kilabu ya Borrusia Dortmund Jurgen Klopp amesema ataondoka katika kilabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Kocha wa Dortmund kubwaga manyanga.
10 years ago
Vijimambo17 Apr
BAADA YA KUTANGAZA KUACHIA NGAZI KWA KOCHA BORUSSIA DORTMUND WENGER TUMBO JOTO
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/04/16/11/2798B5F900000578-0-image-m-3_1429179545614.jpg)
JURGEN KLOPP
Jurgen Klopp kocha wa Borussia Dortmund ametangaza kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo ya Ujerman, Jurgen mwenye umri wa miaka 47 amekuwa kocha wa Borussia kwa miaka saba na kuiwezesha kutwaa ubigwa wa Bundesliga mara mbili na pia kuiwezesha timu hiyo kuingia fainali za Club bingwa Ulaya mara moja. Jurgen katangaza nia hiyo ya kuachana na timu hiyo baada ya ligi kumalizika na anatamani kufundisha moja ya timu za ligi ya Barclay Premier League na baada ya kusikia hivyo kocha wa...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Kocha msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola aachana rasmi na klabu hiyo!
Kocha Seleman Matola
Na Rabi Hume
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC, Selemani Matola ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na Simba kufuatia kutokuwepo kwa maelewano mazuri na kocha mkuu, Dyran Kerr.
Matola amesema kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa hana maelewano mazuri na kocha huyo kwa kila jambo ambalo anamshauli kocha mkuu Kerr kuwa akikataa na hata muda mwingine kumtolea maneno ya dharau.
Aidha Matola amesema kuonyesha kuwa kocha huyo hakuwa...
10 years ago
Bongo507 Jan
Picha: Ludacris afunga ndoa na mpenzi wake raia wa Gabon siku hiyo hiyo aliyomchumbia
10 years ago
BBCSwahili23 May
Xavi kuihama Barcelona
10 years ago
BBCSwahili16 Nov
Podolski ataka kuihama Arsenal
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
De Gea kuihama Manchester United?
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Steven Gerrard kuihama Liverpool
10 years ago
Habarileo11 Aug
Bilal apuuza uvumi wa kuihama CCM
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amekanusha taarifa za uzushi ziliposambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa anakihama Chama Cha Mapinduzi (CCM).