Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Podolski ataka kuihama Arsenal

Lucas Podolski alilichezea taifa lake la Ujerumani dhidi ya Gibraltar lakini anashangazwa kuona ni kwa nini hajaanzishwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Henry ataka kuisaidia Arsenal

Uwezekano wa Thiery Henry kujiunga na Arsenal kama mkufunzi umeongezeka baada ya kusema anataka kusaidia timu hiyo kushinda taji

 

11 years ago

Mwananchi

Wenger ataka mabadiliko Arsenal

Arsene Wenger amewataka wachezaji wake wa Arsenal kujituma zaidi leo na kuhakikisha wanashinda katika nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya mabingwa watatezi Wigan.

 

9 years ago

Mtanzania

Jose Mourinho ataka kuifundisha Arsenal

MourinhoLONDON, ENGLAND

KOCHA wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amesema hana mpango wa kuondoka jiji la London na kama akiondoka katika klabu hiyo basi atajiunga na klabu ya Arsenal ya jijini humo.

Kocha huyo bado ana imani ya kuendelea kuifundisha Chelsea kwa muda mrefu, japokuwa klabu hiyo imeanza vibaya katika michuano ya Ligi Kuu nchini England, hata hivyo, anaamini kuwa anaweza kuwa kocha wa Arsenal baada ya Arsene Wenger kuondoka.

“Ngoja niweke wazi, ipo siku nitakuja kuondoka Chelsea na kama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bilionea wa Afrika ataka kuinunua Arsenal

Mtu tajiri barani Afrika anataka kuinunua Arsenal.Aliko Dangote alijipatia mabilioni ya fedha kupitia biashara ya sukari na mafuta.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu tajiri Afrika ataka kuinunua Arsenal

Mtu tajiri barani Afrika Aliko Dangote amesema kuwa bado anataka kuinunua kilabu ya Arsenal

 

10 years ago

BBCSwahili

Podolski kusajiliwa na Galatasaray

Mshambuliaji Lukas Podolski ameondoka Arsenal na anatarajiwa kujiunga na Galatasaray kulingana na kilabu hiyo ya Uturuki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Podolski nje ya mechi dhidi ya Algeria

Lukas Podolski na Gerome Boateng katika orodha ya majeruhi ya Ujerumani kabla ya mechi dhidi ya Algeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Xavi kuihama Barcelona

Wachezaji wa klabu ya Barcelona watavalia jezi maalum katika mechi yao ya mwisho msimu huu ili kutoa heshima kwa kiungo wao wa kati Xavi ambaye anaondoka

 

10 years ago

BBCSwahili

De Gea kuihama Manchester United?

Kipa wa Manchester United David de Gea amewaambia wachezaji wenzake katika kilabu hiyo ya Old Trafford kwamba anataka kuihama kilabu hiyo na kujiunga na Real Madrid.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani