Kamati Kuu CCM yateua makatibu 27
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeendelea na kikao mjini hapa ambapo moja ya ajenda za kikao hicho ni kujadili mwenendo mzima wa mchakato wa Katiba mpya. Pia Kamati hiyo imewateua makatibu 27 wa wilaya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo na kustaafu, lakini lengo kuu likiwa kukiimarisha chama kuanzia ngazi za chini.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kamati kuu ya CCM Taifa yateua wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba.
2015 – Nape – Press Conf – Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-d9jshBnWs3k/VkihSug12PI/AAAAAAAArYg/njecS_0AqsA/s72-c/1.jpg)
KAMATI KUU YATEUA WATATU USPIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-d9jshBnWs3k/VkihSug12PI/AAAAAAAArYg/njecS_0AqsA/s640/1.jpg)
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika leo Novemba 15, 2015 mjini Dodoma imewateua wana-CCM watatu watakaopigiwa kura na wabunge wote wa CCM ili kumpata mgombea wa CCM katika nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LsCeC9lhGt8/U_QIlDeWPVI/AAAAAAAGA1U/FuyI5U8vP3E/s72-c/0L7C0086.jpg)
Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma
![](http://2.bp.blogspot.com/-LsCeC9lhGt8/U_QIlDeWPVI/AAAAAAAGA1U/FuyI5U8vP3E/s1600/0L7C0086.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-psSP19LECkg/U_QGL68tHoI/AAAAAAAGA08/OqLA7f8tyjU/s1600/dom2.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lNXirL_cw4w/VmWLiD7hbQI/AAAAAAAIKvc/6pcXvEZt-Vw/s72-c/cc8.jpg)
MWENYEKITI WA CCM JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CCM, AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-lNXirL_cw4w/VmWLiD7hbQI/AAAAAAAIKvc/6pcXvEZt-Vw/s640/cc8.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ixoFYeKFTo8/VmWLfzH6bAI/AAAAAAAIKu4/lDO1LO78cgc/s640/cc3.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/f-MjeoJgNE4/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo24 Feb
KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI