Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI KUU YATEUA WATATU USPIKA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC ,CCM Makao Makuu Dodoma akiwa ameshikilia kitabu cha Kanuni za Kamati ya Wabunge Wote wa Chama Cha Mapinduzi.


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika leo Novemba 15, 2015 mjini Dodoma imewateua wana-CCM watatu watakaopigiwa kura na wabunge wote wa CCM ili kumpata mgombea wa CCM katika nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu CCM yateua makatibu 27

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeendelea na kikao mjini hapa ambapo moja ya ajenda za kikao hicho ni kujadili mwenendo mzima wa mchakato wa Katiba mpya. Pia Kamati hiyo imewateua makatibu 27 wa wilaya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo na kustaafu, lakini lengo kuu likiwa kukiimarisha chama kuanzia ngazi za chini.

 

9 years ago

GPL

KAMATI KUU CCM YAPITISHA MAJINA 3 YA USPIKA

KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo imewapitisha  Ndugu Job Ndugai, Ndugu Abdullah Ali Mwinyi na Dk. Tulia Ackson Mwansasu kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kikao cha kupitisha majina hayo kimefanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama hicho mkoani Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete.… ...

 

9 years ago

Michuzi

JK alipotua Dodoma kuongoza kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili majina ya walioomba kugombea Uspika

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu itakayojadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wana CCM alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kamati kuu ya CCM Taifa yateua wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba.

2015 – Nape – Press Conf – Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28


Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani