Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Toto Africans amwaga visingizio

KOCHA Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics, amesema malengo ya klabu yake si kuzifunga Simba, Yanga wala Azam badala yake ni kuhakikisha inaendelea kubaki kwenye ligi ili apate muda wa kukiboresha kikosi hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kocha mpya Toto Africans aanza kazi kwa mikwara

Kocha mkuu wa Toto Africans, Martin Glerics amewaambia maneno machache mashabiki wa timu hiyo kuwa amekuja nchini kufanya kazi na anataka kuing’arisha klabu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Toto Africans yachimba mkwara

KOCHA Msaidizi wa Toto Africans, John Tegete amesema timu hiyo haitakuwa kivuli cha klabu yoyote ile kwenye Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara.

 

9 years ago

Habarileo

Kiungo Toto Africans atoa somo

KIUNGO mchezeshaji wa Toto Africans ya Mwanza, Abdallah Seseme, amesema timu hiyo ina uwezo wa kufanya vizuri kwenye ligi ya msimu huu endapo wachezaji wenzake watajitambua.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Toto African yamsaka kocha Mjerumani

KLABU ya Toto African ya   Mwanza inatarajia  kumpata kocha mpya  kutoka Ujerumani  Agosti 2, mwaka huu ambae atakinoa kikosi hicho kwa ajili ya ligi kuu msimu  ujao.

Timu ya Toto African iliyopata daraja   msimu  uliopita kwa sasa inaendelea na mazoezi ikiwa chini ya kocha John Tegete aliyekipandisha kikosi hicho.

Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa klabu hiyo Ahmed Waziri Gau alisema  kocha huyo atakapowasili mara moja ataanza  kuiandaa timu yao.

Gau alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Toto atangaza kubwaga manyanga

Kocha Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics amepanga kuachia ngazi kutokana na kuchoshwa na hali ya mambo inavyoenda ndani ya klabu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Kerr aanza visingizio

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr amesema kuwa, kufungwa kwa timu yake na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), mabao 2-0 kunatokana na wachezaji sita kutokuwemo katika kikosi hicho.

 

10 years ago

Habarileo

RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo.MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Slaa: Rais Kikwete aache visingizio

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuacha kutafuta visingizio na kuacha taifa lielekee pabaya katika mchakato wa Katiba Mpya.

 

9 years ago

Mtanzania

Mkwasa arudi na kifurushi cha visingizio

tanzania-2NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, amerudi na kifurushi cha visingizio, akifichua sababu zilizoiua timu hiyo na kupokea kipigo cha fedheha cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria ‘The Desert Foxes’.

Stars ilipokea kipigo hicho kwenye mchezo wa raundi ya pili ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, kilichoifanya kutolewa kwa jumla ya mabao 9-2 kufuatia sare ya 2-2 ya mechi ya awali.

Akizungumza jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani