Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha mpya Toto Africans aanza kazi kwa mikwara

Kocha mkuu wa Toto Africans, Martin Glerics amewaambia maneno machache mashabiki wa timu hiyo kuwa amekuja nchini kufanya kazi na anataka kuing’arisha klabu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara

Na Sultani KipingoKocha mpya wa Manchester United Louis van Gaal ameongea na wanahabari kwa mara ya kwanza leo, akisema kuwa klabu hicho cha Old Trafford ni kikubwa duniani isipokuwa inabidi wajipeleleze upya kufuatia kuboronga katika msimu uliopita.
"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Toto Africans amwaga visingizio

KOCHA Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics, amesema malengo ya klabu yake si kuzifunga Simba, Yanga wala Azam badala yake ni kuhakikisha inaendelea kubaki kwenye ligi ili apate muda wa kukiboresha kikosi hicho.

 

11 years ago

GPL

Kocha mpya Stars aanza kazi akiwa Ulaya

 Martinus Ignatius "Mart" Nooij. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Mpya wa kikosi cha timu ya taifa (Taifa Stars), ameanza kazi yake hiyo akiwa bado nyumbani kwao Uholanzi barani Ulaya. Martinnus Ignatius Nooij ametuma programu kwa ajili ya kuwaendeleza vijana wa kikosi cha Taifa Stars kinachojengwa ambacho kimeweka kambi mjini Tukuyu. Mart amewahi kuinoa timu ya taifa chini ya miaka 20 ya Burkina Faso na kubwa ya Msumbiji na ndiyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kocha mpya wa Aston Villa, Remi Garde aanza kwa kipigo kutoka kwa Tottenham

Tighe-24

Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde.

Na Rabi Hume

Kocha mpya wa Aston Villa, Mfaransa Remi Garde ameanza kwa kupokea kipigo katika mchezo wake wa kwanza akiwa kama meneja mpya wa klabu ya Aston Villa baada ya kupokea kipigo cha goli 3 kwa 1 kutoka kwa Totthenham Hotspur katika mchezo wa Ligu kuu ya nchini Wingereza uliochezwa katika uwanja wa White Hate Line.

Garde alipokea kipigo hicho akiwa jukwaani akiutazama mchezo huo ikiwa ni siku moja ya kwanza  baada ya kupewa mkataba wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”

Pix 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Pix 2

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA KUWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU”

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano kati...

 

9 years ago

Habarileo

Toto Africans yachimba mkwara

KOCHA Msaidizi wa Toto Africans, John Tegete amesema timu hiyo haitakuwa kivuli cha klabu yoyote ile kwenye Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara.

 

9 years ago

Habarileo

Kiungo Toto Africans atoa somo

KIUNGO mchezeshaji wa Toto Africans ya Mwanza, Abdallah Seseme, amesema timu hiyo ina uwezo wa kufanya vizuri kwenye ligi ya msimu huu endapo wachezaji wenzake watajitambua.

 

11 years ago

Bongo5

Kocha mpya wa Man U, Van Gaal aanza vizuri kibarua chake, waiadhibu Angeles Galaxy 7-0

Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal ameanza vizuri kibarua chake cha kukinoa kikosi hicho baada ya kupata ushindi wa goli 7-0 dhidi ya Los Angeles Galaxy katika mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini Marekani. Man U walionekana kucheza soka la kuelewana zaidi ambapo mpaka wanakwenda mapumziko walikuwa wakiongoza mabao matatu kwa sifuri. Katika kipindi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani