Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwasa arudi na kifurushi cha visingizio

tanzania-2NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, amerudi na kifurushi cha visingizio, akifichua sababu zilizoiua timu hiyo na kupokea kipigo cha fedheha cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria ‘The Desert Foxes’.

Stars ilipokea kipigo hicho kwenye mchezo wa raundi ya pili ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, kilichoifanya kutolewa kwa jumla ya mabao 9-2 kufuatia sare ya 2-2 ya mechi ya awali.

Akizungumza jijini Dar es...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TTCL YATOA MSAADA WA KOMPUTA NA KIFURUSHI CHA INTERNET YENYE KASI YA 2MBPS VYENYE JUMLA YA SHILINGI MILIONI 20.169 KWA KITUO CHA GLOBAL OUTREACH TANZANIA

Mkuu wa biashara kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Juvenal Utafu ( wa tatu kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya komputa zilizotolewa na TTCL Bw. Nasibu Mengele aliyemwakilisha Afisa Elimu mkoa wa Iringa Bw. Eusedius Mtavangu katika halfa iliyofanyika katika kituo cha Global Outreach Tanzania mkoani Iringa. Mkuu wa biashara kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Juvenal Utafu(kushoto) akifuatilia ngonjera kutoka wanafunzi (hawapo pichani) na meneje wa TTCL mkoa wa Iringa Bw. Humprey Ngowi.

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAZINDUZI KIFURUSHI KIPYA CHA NYOTA‏

 Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa StarTimes Tanzania, Jacky Yu (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Baadhi ya wateja wakiangalia chaneli mbalimbali zinazorushwa na StarTimes kupitia vifurushi vyao mbalimbali.…

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO

 Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya
kifurushi cha ‘Yatosha Nyts’ itakayomwezesha mteja  kupiga simu Airtel
kwenda Airtel na kutuma ujumbe mfupi (SMS) bila kikomo pamoja na
kupata kifurushi cha internet cha MB 10 kwa kiwango cha shilingi 300
tu. Kushoto ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki. Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia) na Afisa Uhusiano naMatukio wa Airtel,...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO

Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kifurushi cha ‘Yatosha Nyts’ itakayomwezesha mteja kupiga simu Airtel kwenda Airtel na kutuma ujumbe mfupi (SMS) bila kikomo pamoja na kupata kifurushi cha internet cha MB 10 kwa kiwango cha shilingi 300 tu. Kushoto ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki. Afisa Uhusiano...

 

5 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUHAMASISHA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO NCHINI KUJIUNGA KIFURUSHI CHA MACHINGA AFYA KWA SH.100,000

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umeanzisha kifurushi cha 'Machinga Afya' kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Wamachinga ambacho gharama yake ni Sh.100,000 tu.

Kwa mujibu wa NHIF ni kifurushi hicho baada mwanachama kujiunga na kulipa fedha hizo atapata huduma ya matibabu ya afya nchi nzima na katika vituo vya afya zaidi ya 7,700.

Akizungumzia leo Juni 9,2020 jijini Dar es Salaam Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja NHIF Hipoliti...

 

10 years ago

Michuzi

nyalandu arudi jimboni kutetea kiti chake cha ubunge singida kaskazini

 Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu akizungumza katika kijiji cha Muvae wilayani Singida juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao. Waziri wa Maliasili na Utalii ambayre ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro nyalandu akizungumza katika kijiji cha Muvae wilayani Singida juzi alipokwenda kutangaza nia ya kutetea kiti chake katika uchaguzi mkuu ujao. Waanchi wa kijiji cha Muvae wakimsikiliza Waziri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kerr aanza visingizio

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr amesema kuwa, kufungwa kwa timu yake na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), mabao 2-0 kunatokana na wachezaji sita kutokuwemo katika kikosi hicho.

 

10 years ago

Habarileo

RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo.MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Slaa: Rais Kikwete aache visingizio

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuacha kutafuta visingizio na kuacha taifa lielekee pabaya katika mchakato wa Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani