Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni Yanga na Toto lake Dar

BAADA ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga na Azam FC kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wao uliopita, leo Yanga wana kibarua kingine watakapoikaribisha Toto Africans ya Mwanza kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mjerumani avunja udugu Toto, Yanga

Licha ya kuisifu Yanga kama moja ya timu kubwa na bora nchini, kocha mkuu wa Toto Africans ya Mwanza, Martin Glerics amesema hatambui kama kuna undugu kati ya timu hizo na atahakikisha anaifunga kila atakapokutana nayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Toto wataendelea kuwa watoto wa Yanga au vinginevyo?

Pengine majiji matatu makubwa yanayopendwa na kuheshimika zaidi Tanzania ni Dar es Salaam, Mwanza na Arusha. Ni kama ambavyo Waingereza wanathamini majiji ya London, Manchester na Birmingham. Katika soka, majiji hayo yote yana timu za Ligi Kuu na zimekuwa sehemu ya alama ya majiji hayo.

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

11 years ago

TheCitizen

Lake Zone, Dar in tricky semifinal tie

The Inter- Primary School Games (Umitashumta) continues today for Lake Zone facing Lake-Western in the boys handball semifinal encounter here at Kibaha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Tanzania kambini, Lake Zone watia fora Dar

WAREMBO 30 wenye tiketi ya kushiriki fainali ya shindano la Redd’s Miss Tanzania, jana walianza kambi huku kivutio kikubwa katika Hoteli ya JB Belmonte, ilikuwa ni kuwasili warembo wa Kanda...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA LAKE GAS INDIAN FOOD FESTIVAL ILIVYOFANA JUMAPILI JIJINI DAR ES SALAAM

 Dj akiwa makini kuhakikisha watu wanaburudika na miziki  mizuri ya Kihindi wakati wa Tamasha la  LAKE GAS INDIAN FOOD   lililofanyika Jumapili Oysterbay jijini Dar es salaam  Mandhari ya eneo la tukio  Palipendeza  Mama na mwanae akionekana ni mwenye furaha  Mstahiki Meya wa Kinondoni Mhe Yusuf Mwenda  akipokea zawadi ya unga kutoka kwa mwakilishi wa banda la Azam  Mstahiki Meya wa Kinondoni Mh.Yusufu Mwenda(kushoto) akifatiwa na balozi wa India Mhe.  Debnath Shaw na familia...

 

10 years ago

Mwananchi

Migogoro yafukuta Toto African

Wanachama wa Klabu ya Toto Africans wamemtaka Makamu Mwenyekiti na Kamati ya Utendaji kujiuzulu kutokana na utendaji wao kuwa butu na kusababisha kushuka kwa maendeleo ya timu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani