Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjerumani aipa tano Simba, aishangaa Yanga

Kocha Mjerumani aliyebwaga manyanga ya kuinoa Toto Africans, Martin Grelics amesifu aina ya soka ambalo timu ya Simba imekuwa ikicheza, huku akishangazwa na kiwango cha Yanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mjerumani aziita Simba, Yanga

Kocha Martin Grelics aliyejiuzulu kuifundisha Toto Africans hivi karibuni, amesema yuko tayari kuzifundisha Simba au Yanga iwapo zitahitaji huduma yake.

 

11 years ago

GPL

Mechi tano za Yanga zaiondoa Simba Caf

Na Sweetbert Lukonge
ENDAPO  Yanga na Azam zitafanikiwa kushinda mechi zake tano kati ya tisa zilizobakiza, zitakuwa zimeinyima Simba nafasi ya kushiriki tena michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf). Msimu uliopita Simba ilikosa nafasi ya kushiriki michuano hiyo ya kimataifa baada ya kushindwa kufanya vizuri ligi kuu na kuziacha Yanga na Azam zikiiwakilisha Tanzania kwenye michuano hiyo ya...

 

10 years ago

Habarileo

Malinzi aipa tano Azam

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa klabu ya Azam FC kwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame inayotimua vumbi jijini Dar es Salam.

 

11 years ago

Mwananchi

Ivo aishangaa Yanga

Kipa namba moja wa Simba, Ivo Mapunda amesema kitendo cha watani zao Yanga kuamini ushirikina ndani ya uwanja ipo siku kitawagharimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Komorozine aishangaa Yanga

Kocha wa Komorozine, Yadhuddine Chaanbane amesema amekubali kipigo cha mabao 5-2, lakini anashukuru timu yake kucheza katika kiwango kizuri huku Yanga ikicheza soka la chini kuliko ilivyocheza Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

MASLAHI: Goran aishangaa Simba kumtosa

>Kocha Goran Kopunovic amesema kiasi cha dola 20,000 pekee ndiyo kimemyima ajira ya kuendelea kuifundisha Simba kwa ajili ya msimu ujao.

 

9 years ago

Mwananchi

Mjerumani avunja udugu Toto, Yanga

Licha ya kuisifu Yanga kama moja ya timu kubwa na bora nchini, kocha mkuu wa Toto Africans ya Mwanza, Martin Glerics amesema hatambui kama kuna undugu kati ya timu hizo na atahakikisha anaifunga kila atakapokutana nayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgosi aipa masharti mazito Simba

Mshambuliaji mahiri wa Mtibwa Sugar, Musa Hassan ‘Mgosi’ ameitaka klabu yake ya zamani ya Simba kuvunja benki kama kweli ina nia ya dhati ya kupata saini yake kwenye kipindi hiki cha usajili.

 

10 years ago

Mwananchi

Makoye aipa Simba siri ya mafanikio

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye “Dogo” amewataka viongozi wa Simba kumaliza migogoro yao ya ndani kama kweli wanataka kufanya vyema katika mechi za Ligi Kuu ikiwepo ile ya Yanga Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani