Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ashley Toto Akanusha Kuwa na Mhusiano na Diamond

Mrembo na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anayefanyia kazi zake inchini Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusia yo kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia  taarifa za udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu mbalimbali kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusino ya siri.

Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa Instagram Ashley Toto alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na kuandika maneno...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Chifu Wanzagi akanusha taarifa zilizoandikwa kuwa Makongoro hatoshi kuwa Rais

 Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za  kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Toto wataendelea kuwa watoto wa Yanga au vinginevyo?

Pengine majiji matatu makubwa yanayopendwa na kuheshimika zaidi Tanzania ni Dar es Salaam, Mwanza na Arusha. Ni kama ambavyo Waingereza wanathamini majiji ya London, Manchester na Birmingham. Katika soka, majiji hayo yote yana timu za Ligi Kuu na zimekuwa sehemu ya alama ya majiji hayo.

 

10 years ago

GPL

WOLPER AKANUSHA KUWA MJAMZITO

IMELDA MTEMA DIVA kutoka Bongo Movie, Jacqueline Wolper amefungukia tetesi zinazoendelea kuzagaa kuwa ni mjamzito na kusema hawezi kuwa katika hali hiyo kwa sasa kwa sababu anatumia ‘mpira.’. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1L7tzcx

 

11 years ago

Mwananchi

Jennifer Hudson akanusha kuwa mgonjwa

Marekani. Mkali wa wimbo ‘Feeling Good’ Jennifer Hudson, amesema hana matatizo na wala haumwi.

 

10 years ago

Bongo5

Quick Rocka akanusha kuwa na uhusiano na Kajala

Bishoo, Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Masanja. Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake. “Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya […]

 

10 years ago

CloudsFM

SHETTA AKANUSHA KUWA NA BIFU NA ALLY KIBA

Mkali wa ngoma ya ‘’Kerewa’’,Sheta amekanusha habari zilizozagaa mtandaoni kuwa hawezi kufanya kolabo na msanii mwenzake wa Bongo Fleva,Ally Kiba.‘’Sina bifu na Ally Kiba,nilichosema ni kwamba sina mpango wa kufanya kolabo na msanii yoyote hapa Bongo kwa sasa,’’alisema Shetta.

 

10 years ago

Bongo5

Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams

Kuliibuka uvumi kuwa rapper Drake amemchumbia mcheza tennis mahiri Serena Williams ambaye inaaminika kuwa wanauhusiano licha ya kuwa wao binafsi hawajathibitisha. Baada ya taarifa hiyo kusambaa mtandaoni jana, mwakilishi wa Drake aliiambia TMZ kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote. Jarida la OK liliandika story Alhamisi hii kuwa Drake alimchumbia Serena walipoenda Canada nyumbani kwao Drake, […]

 

10 years ago

Bongo5

Future akanusha tetesi za kuwa na uhusiano na Blac Chyna!

Rapper wa Marekani, Future amevunja ukimya na kukanusha uvumi ulioenea kuwa ana uhusiano na ex na baby mama wa Tyga, Black Chyna. Siku chache zilizopita Chyna alichora tattoo ya jina la Future mkononi ambayo iliongeza uthibitisho wa tetesi za wawili hao kuwa kwenye uhusiano. Future ambaye ni ex na baba wa mtoto wa mwimbaji Ciara […]

 

9 years ago

Bongo5

Adele akanusha kuwa aliwahi kukataa kufanya collabo na Beyonce

Wiki iliyopita jarida la Heat liliandika taarifa kuwa mwanamuziki wa Uingereza, Adele aliwahi kumkatalia Beyonce Knowles ombi la kufanya naye collabo, baada ya Bey kujaribu kumshawishi kwa mwaka mzima wafanye kazi.

Hit maker wa ‘Hello’, single iliyovunja rekodi mbalimbali amekanusha taarifa hizo.

Adele (27) amesema hawezi kumkosea heshima kiasi hicho Beyonce (34), kwasababu kwanza yeye ni shabiki wake.

“There’s a rumor going round that I turned Beyonce down. Just to clear up, I would never...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani