Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini
Moshi. Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo ameapa kufanya kampeni angani na ardhini, kuhakikisha kuwa CCM inashindwa vibaya uchaguzi mkuu wa 2015.Katika mahojiano maalumu na gazeti hili jana mjini Moshi, Ndesamburo aliahidi kutoa helikopta yake na kukodi nyingine kutoka nje ya nchi kuendesha kampeni hiyo ya nguvu.Hata hivyo, Ndesamburo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, alikataa kutaja idadi ya helikopta zitakazokodishwa akisema kufanya hivyo ni kuwapa faida maadui...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mTtR9ST0XQU/VT9ktMUcDXI/AAAAAAAAOuI/nHsFo5vk3g4/s72-c/11187479_10205198331255349_1441120754_o.jpg)
MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-mTtR9ST0XQU/VT9ktMUcDXI/AAAAAAAAOuI/nHsFo5vk3g4/s640/11187479_10205198331255349_1441120754_o.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-DSJFnSfukJc/VT9kqha30vI/AAAAAAAAOt0/HaLzxoWtsSw/s640/11157059_10205198316374977_1072965266_o.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0SlrOTTFm-o/VT9kqQRQ2dI/AAAAAAAAOt8/skBoP21lvrg/s640/11180581_10205198347415753_47539759_o.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-sLqJ09pTWhw/VT9kttz60EI/AAAAAAAAOuQ/lXwgwGirGwI/s640/11194907_10205198320735086_253036075_o.jpg)
10 years ago
Mtanzania25 Feb
Ndesamburo kugombea tena Moshi Mjini
Na Rodrick Mushi, Moshi
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema), amesema ataendelea kutetea nafasi yake ya ubunge katika jimbo hilo endapo chama chake kitampitisha katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Ndesamburo alitoa kauli hiyo jana katika ufunguzi wa semina ya Baraza la Wanawake wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro (BAWACHA), ambapo alisema chama kisipompitisha yupo tayari kushirikiana na atakayechaguliwa ili jimbo hilo liendelee kubaki mikononi mwa Chadema.
Alisema...
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Ndesamburo amtangaza mrithi wake Moshi Mjini
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Ndesamburo amuombea kura mgombea Ubunge Jimbo la Moshi mjini Jafary Michael
![](http://2.bp.blogspot.com/-HbMqHYdQKoI/ViW7s3KM9lI/AAAAAAAAVkA/J6zYcYP2gIM/s640/IMG_1438%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iwVwf3Jr8kY/ViW8P3wgLII/AAAAAAAAVko/th-rEvMamwE/s640/IMG_1451%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-c25fr4yY2bk/ViW8ub08UgI/AAAAAAAAVlg/EUGefGoomE8/s640/IMG_1464%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2dIROP2Y_tU/ViW78SlgVRI/AAAAAAAAVkY/3MbkHbeMLrQ/s640/IMG_1446%2B%25281280x853%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Ndesamburo atangaza kutogombea jimbo la Moshi Mjini, amuachia mikoba Meya Jafary Michael
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-s2tjgbAWja0/VePcbDSzvLI/AAAAAAAAUWA/YeQHlv2TfV4/s72-c/DSCF0002%2B%25281280x960%2529.jpg)
CHADEMA MOSHI MJINI WATANGAZA ILANI YA UCHAGUZI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-s2tjgbAWja0/VePcbDSzvLI/AAAAAAAAUWA/YeQHlv2TfV4/s640/DSCF0002%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-DNyvk5M7mzo/VePcomE12qI/AAAAAAAAUWU/5LvpjLa6tkA/s640/DSCF0020%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TaxfzPIEZnw/VePcbozdk9I/AAAAAAAAUWM/xXU53OsWa9E/s640/DSCF0008%2B%25281280x960%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-BEHMerDtb7o/VePcaS2HAKI/AAAAAAAAUV8/zEKEu2J4cH8/s640/DSCF0011%2B%25281280x960%2529.jpg)
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
CCM kutwaa ubunge Moshi Mjini?
WAKATI kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu, zikipamba moto katika m
Paul Sarwatt
10 years ago
VijimamboVIJANA CCM WAJITOKEZA KULITAKA JIMBO LA MOSHI MJINI
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
SIKU chache baada ya kumalizika mchakato wa kumpata kada atakaye peperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kinyang’anyiro cha kumpata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Makada wa chama hicho sasa wamerejea majimboni na kuanza harakati za kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea Ubunge..
Hali hiyo inajitokeza katika jimbo la Moshi...