Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndesamburo kugombea tena Moshi Mjini

ndesaNa Rodrick Mushi, Moshi
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema), amesema ataendelea kutetea nafasi yake ya ubunge katika jimbo hilo endapo chama chake kitampitisha katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Ndesamburo alitoa kauli hiyo jana katika ufunguzi wa semina ya Baraza la Wanawake wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro (BAWACHA), ambapo alisema chama kisipompitisha yupo tayari kushirikiana na atakayechaguliwa ili jimbo hilo liendelee kubaki mikononi mwa Chadema.
Alisema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo.Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara .

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini

Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo ameapa kufanya kampeni angani na ardhini, kuhakikisha kuwa CCM inashindwa vibaya uchaguzi mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo amtangaza mrithi wake Moshi Mjini

Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo, juzi alifanya tukio la aina yake pale alipomtangaza Meya wa Manispaa ya Moshi, Jaffar Michael kuwa ndiye atakayerithi mikoba yake.

 

10 years ago

Vijimambo

Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini

Moshi. Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo ameapa kufanya kampeni angani na ardhini, kuhakikisha kuwa CCM inashindwa vibaya uchaguzi mkuu wa 2015.Katika mahojiano maalumu na gazeti hili jana mjini Moshi, Ndesamburo aliahidi kutoa helikopta yake na kukodi nyingine kutoka nje ya nchi kuendesha kampeni hiyo ya nguvu.Hata hivyo, Ndesamburo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, alikataa kutaja idadi ya helikopta zitakazokodishwa akisema kufanya hivyo ni kuwapa faida maadui...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ndesamburo amuombea kura mgombea Ubunge Jimbo la Moshi mjini Jafary Michael

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake, Philemoni Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael (Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya Ngangamfumuni. Baadhi ya wananchi wakiwa kando ya barabara wakifuatilia mkutano huo. Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema, Jafary Michael akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni mjini Moshi. Mwenyekiti wa Chadema na mbunge anayemaliza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ndesamburo atangaza kutogombea jimbo la Moshi Mjini, amuachia mikoba Meya Jafary Michael

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika katika eneo la soko la Manyema. Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na Diwani wa Kata ya Kiusa , Stephen Ngasa akizungumza katika mkutano huo wa hadhara. Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiwasili katika viwanja eneo la soko la Manyema akiwa ameongozana na Diwani wa kata ya Mji Mpya ,Abuu Shayo na Stephen Ngasa wa kata ya Kiusa. Mstahiki...

 

10 years ago

Vijimambo

DOGO AJITOSA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KORONGONI MOSHI MJINI

Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chiniDogo akiwa na wanachama hichoMsafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.Hapa ni furaha...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI MRINDOKO ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI

Kijana Daudi Mrindoko aliyekuwa anashawishiwa na wakazi wa jimbo la Moshi mjini kugombea ubunge wa jimbo hilo.,Siku ya ijumaa 17 Julai 2015 mshawishiwa huyo Daudi Mrindoko alifika ofisi ya CCM wilaya Moshi Mjini na kukabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge kupitia ticketi ya CCM.

 

10 years ago

Michuzi

Priscus Tarimo atangaza rasmi nia ya kugombea udiwani jimbo la Moshi mjini

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake wa na wakazi wa kata ya Kilimanjaro, katika Manispaa ya Moshi akieleza mambo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani