Lundenga alia hujuma
Siku moja baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-HdwYkRXyX1Y/U-x4kFZ2i9I/AAAAAAAABfA/dz3KfQhMB3w/s72-c/Unknown-4.jpeg)
Hujuma nzito
Mashine Elektroniki zatumika kuibia serikaliMwigulu aendesha msako, aagiza uchunguziKampuni kubwa zahusishwa, wawili mbaroni
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI inahofiwa kupoteza mabilioni ya shilingi kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kuanza kufanya hujuma kwa kutumia mashine za kielektroniki (EFD) zinazotumika kukusanya kodi.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuingizwa sokoni kwa mashine zinazotoa risiti feki, ambapo kodi inayokatwa kwa mnunuzi imekuwa haiwasilishwi Mamlaka ya Mapato Tanzania...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Hujuma uzalishaji sukari
TANI 158 za sukari zimeozea kwenye ghala la kiwanda cha sukari Kilombero mkoani Morogoro mwaka jana huku tani 40,000 zikishindwa kuuzika kutokana na kuendelea kuingizwa kwa sukari kutoka nje ya...
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Hujuma Bandari ya Tanga
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kanisa Zanzibar lalia hujuma
WAKATI Jeshi la Polisi likisema milipuko ya mabomu karibu na Kanisa la Mkunazini si hujuma, uongozi wa Kanisa hilo umepinga na kusema ni sehemu ya mikakati ya kuzusha taharuki na hofu kwa waumini wake ili washindwe kuendelea na ibada.
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Simba yakwepa hujuma Mbeya
NA PENDO FUNDISHA, MBEYA
TIMU ya soka ya Simba imebuni mbinu mpya ya kufanya mazoezi ndani ya Uwanja wa Jeshi wa JKT mkoani Mbeya, ili kukwepa vitendo vya hujuma wanavyoweza kufanyiwa kwa kuruhusu mashabiki kuingia kienyeji na kuwasoma wakati wakijiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons.
Kitendo cha Simba kuingia mafichoni na kuutumia uwanja huo ambao awali waliugomea kabla ya kucheza na Mbeya City, kimetafsiriwa kama moja ya mipango na mikakati ya timu hiyo iliyoandaliwa ili kuimarisha...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Wasira, Bulaya walalamikia hujuma
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Azam kukabiliana na hujuma za Merreikh
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC wamejipanga kukabiliana na hujuma zozote kutoka kwa El Merreikh katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Azam juzi iliwafunga miamba hiyo ya Sudan mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, mchezo wa marudiano utafanyika jijini Khartoum, Sudan.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa Azam, Nassor Idrissa, alisema wanajua mbinu chafu za nje ya...
11 years ago
Mwananchi26 May
Wahadzabe walia na hujuma za wanaume
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6arpT8CGLwsQpddZ8klYFi8vN1mSkPXF8ZuK9yCI6TqQNaEskpIwiQ5*rJ*snsufYs1X7*WmD9D3kvfuuO4OX07/lundenga.jpg?width=650)
LUNDENGA...