Wassira, Chiza, Mwanri wadondoka
MATOKEO ya ubunge yameanza kutangazwa jana katika sehemu mbalimbali nchini huku kukiwapo na mabadiliko makubwa ya wabunge kati ya vyama vya CCM na Chadema. Katika matokeo yaliyolifikia gazeti hili na ambayo yamethibitishwa na wasimamizi wa uchaguzi, CCM imewapoteza mawaziri watatu hadi jana.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Dar yamtaabisha Mwanri
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Agrey Mwanri, amewekwa katika wakati mgumu na baadhi ya wabunge baada ya kumtaka atoe maelezo...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mwanri amsimamisha kazi mhandisi
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Paschal Manyama.
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Mwanri awaonya maofisa elimu
11 years ago
Habarileo13 Jan
Mwanri agoma kukagua miradi
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Aggrey Mwanri amegoma kukagua miradi mbalimbali wilayani Maswa baada ya kugundua kuwa miradi hiyo imejengwa chini ya kiwango.
10 years ago
Habarileo02 Mar
Mwanri achefuka viwango vya mhandisi
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri ametilia shaka uwezo wa kitaaluma na kiutendaji wa Mhandisi wa ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, Ngonyani Ngonyani na hivyo kuagiza kupatiwa taarifa zake binfasi na vyeti vyake.
10 years ago
MichuziSIMAMIENI IPASAVYO MIUNDOMBINU YA MAJI: MH. MWANRI
Serikali imetoa wito kwa taasisi za umma kusimamia kwa umakini miundombinu ya miradi ya maji pindi inapokamilika ili kuweza kuwapatia wananchi huduma ya maji ya uhakika mara miradi hiyo inapokabidhiwa kwa kamati za usimamizi wa maji.
Wito huo umetolewa na kiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya maji ya utekelezaji wa...
10 years ago
VijimamboMWANRI: ZUIENI UBADHIRIFU WA MIUNDOMBINU YA MAJI
Serikali imetoa wito kwa taasisi za umma kusimamia kwa umakini miundombinu ya miradi ya maji pindi inapokamilika ili kuweza kuwapatia wananchi huduma ya maji ya uhakika mara miradi hiyo inapokabidhiwa kwa kamati za usimamizi wa maji.
Wito huo umetolewa na kiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya maji ya utekelezaji wa program ya maji...
11 years ago
Habarileo12 Jan
Mwanri amtwanga mkwara mzito Mkurugenzi Maswa
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanri amempa siku 30 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kuhakikisha wazee wanaostahili kupewa matibabu bure wanaorodheshwa haraka.