Mwanri awaonya maofisa elimu
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri amewataka maofisa elimu wa mikoa na wilaya wa shule za msingi na sekondari kuhakikisha wanatumia fedha za wafadhili kama ilivyokusudiwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Rais Nkurunzinza awaonya maofisa forodha
11 years ago
Habarileo24 Jun
Maofisa Elimu 2 kortini
MAOFISA Elimu wawili wa Manispaa ya Tabora na Ofisa Utamaduni, wamefikishwa kujibu mashitaka mawili ya kuhujumu uchumi.
10 years ago
Habarileo25 Jun
Maofisa elimu wapewa somo
SERIKALI imetoa jukumu zito kwa wakuu wa shule na maofisa elimu wa kata kusimamia kwa ukamilifu na kufuatilia shughuli za ufundishaji wa stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu, kuwa zinatekelezwa.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
‘Maofisa elimu zingatieni mpango wa Equip- Tanzania’
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi amewataka maofisa elimu mkoa, maofisa watendaji wa mkoa na Wilaya mkoani Dodoma, kuhakikisha wanaukumbuka mpango wa kuboresha elimu Tanzania (Equip-Tanzania) wakati wanapopanga...
10 years ago
Habarileo18 Aug
Maofisa habari watakiwa kutoa elimu kuhusu DART
WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umetaka maofisa habari na mawasiliano wa taasisi zinazoguswa moja kwa moja na mradi huo, kusaidia kutoa elimu na taarifa sahihi kwa wananchi juu ya uendeshaji na usimamizi wake.
11 years ago
Habarileo09 Aug
Ataja kigezo kipya cha kupima maofisa elimu
SERIKALI imesema itawapima Maofisa Elimu wa Mikoa na Wilaya kwa kurudisha shuleni wanafunzi watoro kwa asilimia 100 bila kujali ana mimba au la.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Rz_DSo07-kE/Xr2Oq_yF8UI/AAAAAAALqRw/6XmGPD_lFYwLtOW4rQU_QYx7U-4qDSP9ACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0948AAA-768x513.jpg)
RAIS MAGUFULI ATOA MSAADA WA PIKIPIKI KWA MAOFISA TARAFA RUKWA KURAHISISHA UTOELI ELIMU YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Rz_DSo07-kE/Xr2Oq_yF8UI/AAAAAAALqRw/6XmGPD_lFYwLtOW4rQU_QYx7U-4qDSP9ACLcBGAsYHQ/s400/DSC_0948AAA-768x513.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/DSC_0953AAA-1024x685.jpg)
Afisa Tarafa wa Tarafa ya Namanyere Wilayani Nkasi Kasim Ibrahim akitia saini hati ya Makabidhiano mbele ya Mkuu wa mkoa wa Rukwa pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa ili kukabidhiwa Pikipiki aliyoahidiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/DSC_0957AAA-1024x685.jpg)
Katibu Tawala wa MKoa wa Rukwa Benard Makali akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa...
10 years ago
VijimamboRais Mstaafu Mkapa atoa elimu ya uchumi kwa Mabalozi, maofisa na wafanyakazi Wizara ya Mambo ya Nje
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Dar yamtaabisha Mwanri
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Agrey Mwanri, amewekwa katika wakati mgumu na baadhi ya wabunge baada ya kumtaka atoe maelezo...