MZIWANDA AJITETEA KUDUNDWA NA SHILOLE
![](http://api.ning.com:80/files/TtwBo078M6hhzr*XQoXYL8eFlqIdqq5zkUJb2UEDei3Lk*8-CrMVGzyMdueju4NHHTIpokNa*sUllZHyh1sQdBxz44KRSl97/shilole.jpg)
Stori: Imelda Mtema MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Shilole Atema Mkwara Kwa ‘Videmu’ Vinavyomshobokea Mziwanda, Aweka Picha Wapi Amemtoa Mziwanda
Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Shilole ameandika mkwara huo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hizo mbili hapo juu za mchumba wake Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni alidaiwa kumpa mimba masichana anaefahamika kwa jina la hata hivyo mziwanda alikanisha taarifa hizo.
Kutoka pic ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSvIEXWXlijDY1LB5JTd3idxJyON9kxtK77yOWCXs2m3qwXZ7CUq5UNGnxkrRkkxh*bdQeUIrxZw8tHY2LELpEZb/shilole.jpg)
SHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
GPLMZIWANDA: SHILOLE AMENIPA MWANGA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrwCJeAU45o*lOdnycaMPxKqQnnjsJcIlZXql19Ok3zh3pq9Vp-W1-In1DfNFU2ViQrwlM*B64dYsYatVY7kHJ9L/66.jpg?width=650)
SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyInDkGOojtfuMVIJ-5A9tvVavOyh91LqA-jk6rAj6uKall9DWsOcghGRTt27qYrG618GaHHF07U5mH-ImfUWqLRL/SHILOLE.jpg)
SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA
10 years ago
Bongo Movies23 Jul
Duh! Shilole na Mziwanda Kumbe ni Kiki tu
BAADA mikasa na vituko kibao vya kidume kuchezea kichapo na kuvumilia kitambo huku thamani ya uume ikidhalilishwa front, kijana Nuhu Mziwanda kabwaga mazima, ni Couple iliyounganishwa na yeye na mwanadada mwenye kesi kwa Pilato Basata kwa kumwaga radhi Ughaibu Shilole.
FC baada ya kupata mtonyo iliwaibukia artist hao wenye uwezo wa kuact kila kunapokucha katika kupata data kama ni sinema na wanaendelea na Movie yao mpya ya maisha kama walivyozoeleka? Lakini hii ni real mtu kambwaga mtu naye...
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Shilole , Mziwanda Warushiana Vijembe Mtandaoni
Penzi la mastaa wa hapa Bongo, Shilole na Mziwanda linaonekana kupumulia mashine kwa sasa hivi baada ya wawili hao kuibuka mtandaoni na kurushiana maneno ya kejeli.
Alianza Shilole kwa kuandika haya;
"Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi ...GaNdALaNdiZi"
Baada ya saa 2 Mziwanda alijibu mapigo...
10 years ago
Bongo Movies07 Aug
Nuh Mziwanda: Wengi Walimshauri Shilole Aniache
Msanii wa Bongofleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Ganda la Ndizi' Nuh Mziwanda akiwa na mchumba wake Shilole amefunguka na kusema watu wengi walimshauri mpenzi wake huyo amuache.
Nuh amesema watu walimpatia ushauri huo Shilole, baada ya hivi karibuni kusambazwa sauti yake katika mitandao ya jamii akisikika kumtaka kimapenzi msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu, mazungumzo yao yalikuwa yamerekodiwa kwa njia ya simu na kusambazwa na mtu asiyejulikana.
Nuh Mziwanda amesema...