SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA
![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyInDkGOojtfuMVIJ-5A9tvVavOyh91LqA-jk6rAj6uKall9DWsOcghGRTt27qYrG618GaHHF07U5mH-ImfUWqLRL/SHILOLE.jpg)
Na Erick Evarist STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha. Staa wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Shilole Ataja Chanzo cha Migogoro na Nuh Mziwanda
Mwanamziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha.
Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili kupunguza migogoro ya mara kwa mara...
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana” Shilole amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.
10 years ago
Bongo Movies06 Jun
Shilole Atema Mkwara Kwa ‘Videmu’ Vinavyomshobokea Mziwanda, Aweka Picha Wapi Amemtoa Mziwanda
Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Shilole ameandika mkwara huo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hizo mbili hapo juu za mchumba wake Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni alidaiwa kumpa mimba masichana anaefahamika kwa jina la hata hivyo mziwanda alikanisha taarifa hizo.
Kutoka pic ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSvIEXWXlijDY1LB5JTd3idxJyON9kxtK77yOWCXs2m3qwXZ7CUq5UNGnxkrRkkxh*bdQeUIrxZw8tHY2LELpEZb/shilole.jpg)
SHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TtwBo078M6hhzr*XQoXYL8eFlqIdqq5zkUJb2UEDei3Lk*8-CrMVGzyMdueju4NHHTIpokNa*sUllZHyh1sQdBxz44KRSl97/shilole.jpg)
MZIWANDA AJITETEA KUDUNDWA NA SHILOLE
10 years ago
GPLMZIWANDA: SHILOLE AMENIPA MWANGA
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
10 years ago
Bongo Movies23 Jul
Duh! Shilole na Mziwanda Kumbe ni Kiki tu
BAADA mikasa na vituko kibao vya kidume kuchezea kichapo na kuvumilia kitambo huku thamani ya uume ikidhalilishwa front, kijana Nuhu Mziwanda kabwaga mazima, ni Couple iliyounganishwa na yeye na mwanadada mwenye kesi kwa Pilato Basata kwa kumwaga radhi Ughaibu Shilole.
FC baada ya kupata mtonyo iliwaibukia artist hao wenye uwezo wa kuact kila kunapokucha katika kupata data kama ni sinema na wanaendelea na Movie yao mpya ya maisha kama walivyozoeleka? Lakini hii ni real mtu kambwaga mtu naye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrwCJeAU45o*lOdnycaMPxKqQnnjsJcIlZXql19Ok3zh3pq9Vp-W1-In1DfNFU2ViQrwlM*B64dYsYatVY7kHJ9L/66.jpg?width=650)
SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA