Kaseja ‘kushtakiwa’
Kipa Juma Kaseja amewekwa kati akitarajiwa kujadiliwa na kuchukuliwa hatua na kamati ya nidhamu ya klabu ya Yanga akituhumiwa kukacha mazoezi, jambo ambalo ni utovu wa nidhamu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Lowassa kushtakiwa
Mgombea ubunge jimbo la Kyela, Dk Harrison Mwakyembe amesema moto wa kashfa ya mkataba wa kufua umeme wa dharura na kampuni ya Richmond haujazimika, hivyo mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anaweza kufunguliwa “kesi ya magendoâ€.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQj*WGUotz4lIQCia9bjJl3l-pDXCWJZ7EXRtdtaRlDe05ogP7ZpfCqEUuEBZr1wSycAlgM*ZayI98ncth6-*9Hl/Diamond.jpg)
DIAMOND KUSHTAKIWA
Waandishi wetu
STAA wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’ ambaye aliwatelekeza watoto wawili alioahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, atashtakiwa mahakamani endapo wazazi wa vijana hao wataamua kufanya hivyo, Risasi Mchanganyiko limeelezwa. Staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. Meneja wa msanii...
9 years ago
BBCSwahili16 Aug
Al-Maliki aweza kushtakiwa
Waziri mkuu wa zamani wa Iraq huenda akachukuliwa hatua za kisheria kwa mchango wake katika vita
11 years ago
Mwananchi14 May
Atakayekacha mafunzo JKT kushtakiwa
Vijana wasiopungua 45,000 watakaomaliza kidato cha sita watajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria na watakaokwepa mafunzo hayo ya miezi mitatu, watashtakiwa.
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Mashirika ya ndege kushtakiwa Uingereza
Wahudumu wa ndege wanapanga kuyashtaki mashirika ya ndege ya Uingereza kwa kuathiriwa na hewa chafu ndani ya vyumba vya ndege.
10 years ago
BBCSwahili25 May
Ufisadi:Mawaziri 4 kushtakiwa Kenya
Kiongozi wa mashtaka nchini kenya amesema kuwa mawaziri wanne watashtakiwa kwa makosa ya ufisadi.
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Spika wa Congress Brazil kushtakiwa
Waendesha mashtaka wa Brazil wamefungua mashtaka ya rushwa na usafishaji wa fedha chafu dhidi ya Spika wa Congress, Eduardo Cunha
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Rais wa Zamani wa Guatamala kushtakiwa
Mahakama moja nchini Guatamala imeruhusu kukakamatwa na kushtakiwa kwa rais wa zamani kwa madai ya rushwa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania