DIAMOND KUSHTAKIWA
![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQj*WGUotz4lIQCia9bjJl3l-pDXCWJZ7EXRtdtaRlDe05ogP7ZpfCqEUuEBZr1wSycAlgM*ZayI98ncth6-*9Hl/Diamond.jpg)
Waandishi wetu STAA wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’ ambaye aliwatelekeza watoto wawili alioahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, atashtakiwa mahakamani endapo wazazi wa vijana hao wataamua kufanya hivyo, Risasi Mchanganyiko limeelezwa. Staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. Meneja wa msanii...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Lowassa kushtakiwa
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Kaseja ‘kushtakiwa’
9 years ago
BBCSwahili16 Aug
Al-Maliki aweza kushtakiwa
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Magufuli: Nipo tayari kushtakiwa
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Oliver Oswald Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.
Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo endapo watashindwa kuwa walinzi wa uharibifu...
10 years ago
BBCSwahili25 May
Ufisadi:Mawaziri 4 kushtakiwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Mke wa rais wa Zimbabwe kushtakiwa
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Rais wa zamani kushtakiwa Chad
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Spika wa Congress Brazil kushtakiwa