Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa zamani kushtakiwa Chad

Mahakama nchini Senegal imeamua kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuweza kumfungulia mashtaka rais wa zamani wa Chad Hissene Habre

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Zamani wa Guatamala kushtakiwa

Mahakama moja nchini Guatamala imeruhusu kukakamatwa na kushtakiwa kwa rais wa zamani kwa madai ya rushwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani Chad,ashtakiwa Senegal

Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre, atafikishwa mahakamani Senegal, kwa makosa ya ukatili na uhalifu wa kivita .

 

10 years ago

BBCSwahili

Mke wa rais wa Zimbabwe kushtakiwa

Muungano wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Zimbabwe umesema kwamba unawasilisha kesi mahakamani hii leo kumshtaki bi Grace Mugabe

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ateta na Rais wa Zamani wa Nigeria,Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa Ethiopia leo wakati wa kikao maalum kilichojadili hali ya usalama Barani Afrika.Rais Kikwete aliwasili nchini Ethiopia jana kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(African Union) AU.(picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

Mwananchi

Rais wa Chad apongeza utendaji Mahakama ya Afrika

Rais wa Chad, Idriss Deby amepongeza utendaji kazi wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu (AfCHPR) na kuahidi kuridhia itifaki ya kuanzishwa mahakama hiyo nchini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI

AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Madagascar akamatwa

Aliyekuwa rais wa Madagascar Marc Ravalomanana amekamatwa muda mfupi baada ya kurejea nyumbani kutoka uhamishoni kwa miaka mitano

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Guinea akiri mashtaka US

Jenerali wa zamani wa kikosi cha Muungano wa Afrika ambaye aliwahi kuhudumu kama rais wa mpito nchini Guinea amekiri mashtaka ya kulangua maelfu ya dola Marekani.

 

10 years ago

StarTV

Rais wa zamani wa Uturuki afariki dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Ankara akiwa na umri wa miaka 97.

Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi.

Chini ya utawala wake watu kadha walinyongwa , maelfu wakakamatwa na vyama vya kisiasa vikapigwa marufuku.

Vyombo vya habari vilivyotangaza kinyume na mapinduzi hayo vilifungwa .

 

Generali Evren...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani