Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete ateta na Rais wa Zamani wa Nigeria,Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa Ethiopia leo wakati wa kikao maalum kilichojadili hali ya usalama Barani Afrika.Rais Kikwete aliwasili nchini Ethiopia jana kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(African Union) AU.(picha na Freddy Maro)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa,Ethiopia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipitia moja ya taarifa wakati akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa,Ethiopia leo.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI SAADA MKUYA SALUM AMWAKILISHA RAIS KIKWETE MKUTANO WA UFADHILI WA MAENDELEO ADDIS —ABABA

Mkutano wa Mkubwa watatu wa  Kimataifa,  unaojadili Ufadhili wa Maendeleo (FFD3) , umeanza leo Jumatatu  jijini  Adds Ababa, Ethiopia.

Ujumbe  Tanzania katika mkutano huu ambao   utakafanyika kwa siku tatu unaongozwa na  Waziri wa   Fedha  Mhe. Saada Mkuya  Salum (pichani) akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe.  Jakaya Mrisho Kikwete. Mhe.  Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum atauhutubia mkutano huo  siku ya  Jumanne Julai 14, 2015. Kwa taarifa kamili BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAENDELEA KUJIFUA JIJINI ADDIS ABABA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa  Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14, jijini Alexandria.
Stars ambayo iliwasili jana jioni jijini Addis Ababa imefikia katika hoteli ya Debre Damo iliyopo eneo na 22 Mazoiria ambapo itakaa kambi kwa kipindi cha wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Mapaharao.
Kocha Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ateta na Wasanii Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisistiza jambo wakati akizungumza na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz ikulu ndogo mjini Dodoma wakati chakula cha usiku alichowaandalia wasanii walioshiriki katika tamasha la Uzalendo na Uzinduzi wa Video ya wimbo maalum wa miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma jumamosi.Kulia ni mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini...

 

11 years ago

Michuzi

MHE OLUSEGUN OBASANJO AONGOZA KIKAO KAMATI YA WATU MASHUHURI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIC (ACP)

Rais Mstaafu wa Nigeria na Mwenyekiti wa Kamati ya Watu Mashuhuri ya ACP Mhe Olusegun Obasanjo akiongoza kikao cha Kamati ya Watu Mashuhuri wa ACP. Kikao kinafanyika Addis Ababa Ethiopia leo. Wajumbe wa kamati hiyo ni pamoja na Dr. Leone Reyna, Mhe. Kaliate Tavola, Prof. Sebastio Izata, Prof Ibrahima Fall, Bi. Patricia Francis, Balozi Nureldin Satti, Dr Daoussa Cheriff, Mhe. Kolone Vaai, Mhe Peter Gakunu, Balozi Teshome Toga na Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala. Balozi Kamala...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI

AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika Mkutano wa Dunia wa Uchumi Jijini Abuja, Nigeria

af10

World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab pins a WEF pin on President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in the sidelines of  the World Economic Forum in Abuja.

af11

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in talks with the World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab in the side lines of  the World Economic Forum in Abuja.

af12

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in talks with the World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab in the side lines of  the World Economic...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani