Rais wa zamani wa Uturuki afariki dunia
Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Ankara akiwa na umri wa miaka 97.
Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi.
Chini ya utawala wake watu kadha walinyongwa , maelfu wakakamatwa na vyama vya kisiasa vikapigwa marufuku.
Vyombo vya habari vilivyotangaza kinyume na mapinduzi hayo vilifungwa .
Generali Evren...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 May
Rais wa zamani wa Uturuki aaga dunia
Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgbhKg*Zi3JwVeGu6b3CFIuA7wjUgP*NtI1qtPskqrLiZrXb2j2pasFNNDcmunqQtf*c5AW4bDFHAzYLo*76K5pB/KenanEvren.jpg?width=650)
RAIS WA ZAMANI WA UTURUKI, KENAN EVREN AAGA DUNIA
Kenan Evren enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Rais wa Uturuki, Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 amefariki dunia jana kwenye hospitali moja mjini Ankara, Uturuki akiwa na umri wa miaka 97. Kenan alikuwa Rais wa Uturiki mwaka 1980 hadi 1989.
Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi. Chini ya utawala wake watu...
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia
Mubarak aliondolewa madarakani kwa mapinduzi 2011.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZ8N9Ge5IhRMJOejq4JL6jzzdDyFVNvbgcPk8t0hP7cyxktwF1Xg7GQ5v2cKUKv0pKjE7zPBBju5YrzY3CVw7ZP/AlbertReynolds.jpg)
WAZIRI MKUU WA ZAMANI IRELAND AFARIKI DUNIA
Albert Reynolds enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Ireland kwa miaka mitatu, Albert Reynolds amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Kiongozi huyo aliyewahi kuongoza Chama cha Fianna Fáil na kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha (1988–91), Waziri wa Viwanda na Biashara (1987–88), Waziri wa Viwanda na Nishati (1982), Waziri wa Usafirishaji (1980–81) na Waziri wa...
10 years ago
VijimamboMCHEZAJI WA ZAMANI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA. MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA
Buriani Mchezaji wa Zamani wa timu ya KMKM na Miembeni Zanzibar Mcha Khamis Mcha aliyefarika jana Mjini Dar-es-Salaam akipata matibabu katika hospitali ya Muimbili. kwa mujibu wa habari za ndugu wa karibu wamesema alikuwa akisumbulia na matatizo ya mkojo. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar leo katika bandari ya Malindi saa.6 mchana kwa Boti ya Azam Marine, baada ya kuwasili mwili wa marehemu utapelekwa Kijiji...
11 years ago
Michuzi06 Jun
BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU
TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA ALIEWAHI KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ALIKOKUWA AKIPATIWA MATIBABU YA MRADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA.
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2AStWy5W0kg/U5rKT7EtTZI/AAAAAAAFqUs/MBF-1NBIe4g/s72-c/Bondia+Mkongwe+Iraki+Hudu(mwenye+miwani)+na+Mwanae+Dani+Hudu.jpg)
Tanzia: Bondia wa zamani iraq hudu afariki dunia leo, kuzikwa kesho kisutu Dar es salaam
BONDIA wa zamani wa ngumi za kulipwa nchini, Iraq Hudu 'Kimbuga' (49) amefariki dunia, baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Dada wa Marehemu Tiba Takadiri, alisema kuwa Hudu amefariki jana majira ya saa 11 ya alfajiri kwenye hospitali ya Hindu Mandal, alikokuwa amelazwa. Takadiri, alimesema kuwa mazishi ya Hudu yatafanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Alisema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na tatizo la ini na figo kutofanya...
11 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Yanga wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ afariki dunia, kuzikwa tabora jumatano
Katibu Mkuu wa Yanga wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ (kulia) enzi za uhai wake akiwa katika moja ya mikutano ya klabu hiyo. Kushoto ni mmoja wa wazee maarufu wa klabu hiyo Mzee Yusuf Mzimba. Na Mahmoud Zubeiry Katibu Mkuu wa Yanga SC wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ amefariki dunia jana saa nne usiku katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya moyo. Mtoto wa marehemu, Hilton Mpondela amemwambia mwandishi wa habari hii...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania