Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZAMANI WA UTURUKI, KENAN EVREN AAGA DUNIA

Kenan Evren enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Rais wa Uturuki, Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 amefariki dunia jana kwenye hospitali moja mjini Ankara, Uturuki akiwa na umri wa miaka 97. Kenan alikuwa Rais wa Uturiki mwaka 1980 hadi 1989.
Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi. Chini ya utawala wake watu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Uturuki aaga dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia

 

10 years ago

StarTV

Rais wa zamani wa Uturuki afariki dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Ankara akiwa na umri wa miaka 97.

Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi.

Chini ya utawala wake watu kadha walinyongwa , maelfu wakakamatwa na vyama vya kisiasa vikapigwa marufuku.

Vyombo vya habari vilivyotangaza kinyume na mapinduzi hayo vilifungwa .

 

Generali Evren...

 

5 years ago

CCM Blog

KATIBU MKUU WA ZAMANI IJM AAGA DUNIA

Marehemu Dakta Ramadhan ShalahMarehemu Dakta Ramadhan ShalahKatibu Mkuu wa zamani Harakati ya Jihad Islami ya Palestina (IJM) ameaga dunia hospitalini baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.Taarifa iliyotolea na harakati hiyo imesema kuwa, Ramadhan Shalah ameaga dunia akiwa hospitalini katika mji wa Gaza. Taarifa hiyo imeseama: Tumekuwa tukishuhudia mapambano ya Harakati ya Jihad Islami tangu kuanzishwa kwake, na tunakumbuka uongozi na msimamo wake wa kitaifa kwa heshima na fahari."Imeongeza kuwa Shalah alilinda...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Michael Sata wa Zambia aaga dunia

Rais wa Zambia Michael Sata amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77. Rais Sata alikuwa akitibiwa jijini London.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa Zambia Michael Sata aaga dunia

Rais wa zambia Michael sata ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 77

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia

Mubarak aliondolewa madarakani kwa mapinduzi 2011.

 

5 years ago

BBCSwahili

Hosni Mubarak alikuwa nani? Rais wa Misri aliyengatulia madarakani aaga dunia akiwa na umri wa miaka 91.

Hosni Mubarak alikuwa jeshi lakini alijitolea sana kwa nchi yake kuhakikisha inakuwa na Amani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bingwa wa muziki wa Blues aaga dunia

B.B. King - ambaye anatambuliwa kuwa bingwa wa muziki aina ya Blues ulimwenguni amefariki akiwa na miaka 89.

 

11 years ago

BBCSwahili

Daktari mwengine wa Ebola aaga dunia

Ripoti kutoka Sierra Leone zinasema kuwa daktari mwengine amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani