Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bingwa wa muziki wa Blues aaga dunia

B.B. King - ambaye anatambuliwa kuwa bingwa wa muziki aina ya Blues ulimwenguni amefariki akiwa na miaka 89.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MFALME WA BLUES, BB KING AFARIKI DUNIA

 Riley B. King 'BB King'. MFALME wa Blues, mpiga gitaa na mwimbaji, Riley B. King 'BB King' wa nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 akiwa usingizini huko Las Vegas jana. King alifahamika kwa baadhi ya nyimbo zake kali kama My Lucille, Sweet Little Angel na Rock Me Baby.
Marehemu alizaliwa Mississippi na kuanza kutumbuiza miaka ya 1940. Miezi ya nyuma marehemu alikuwa na matatizo ya kiafya na hivi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mke wa Rio Ferdinand aaga dunia

Mke wa aliyekuwa nahodha wa kikosi cha Manchester United pamoja na timu ya Uingereza Rio Ferdinand amefariki kutokana na saratani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mama Mpalestina aliyechomwa aaga dunia

Mama Mpalestina aliyechomwa moto na walowezi wa kiyahudi ameaga dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Karegeya aaga dunia mjini Johannesburg

Polisi nchini Afrika Kusini wamesema aliyekuwa mkuu wa idara ya ujasusi wa Rwanda Patrick Karegeya, amepatikana ameaga dunia

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchekeshaji Joan Rivers aaga dunia

Mchekeshaji maarufu nchini Marekani Joan Rivers amefariki dunia

 

9 years ago

BBCSwahili

Askofu aliyekabiliwa na kesi aaga dunia

Aliyekuwa Askofu wa kanisa la Katoliki ambaye alitarajiwa kufikishwa mahakamani kwa madai ya dhuluma za ngono amefariki

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Uturuki aaga dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari mwengine wa Ebola aaga dunia

Ripoti kutoka Sierra Leone zinasema kuwa daktari mwengine amefariki kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki Percy Sledge aaga dunia

Mwanamuziki chapa 'Soul' aliyevuma kote duniani kutokana na utunzi wake ''When a Man Loves a Woman'',Percy Sledge ameaga dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani