Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFALME WA BLUES, BB KING AFARIKI DUNIA

 Riley B. King 'BB King'. MFALME wa Blues, mpiga gitaa na mwimbaji, Riley B. King 'BB King' wa nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 akiwa usingizini huko Las Vegas jana. King alifahamika kwa baadhi ya nyimbo zake kali kama My Lucille, Sweet Little Angel na Rock Me Baby.
Marehemu alizaliwa Mississippi na kuanza kutumbuiza miaka ya 1940. Miezi ya nyuma marehemu alikuwa na matatizo ya kiafya na hivi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mfalme Abdullah afariki dunia

Hayyat Mfalme Abdullah
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .

Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.

Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.

King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfalme Abdullah afariki dunia

Mfalme Abdula wa Saudi Arabia afariki dunia akiwa na miaka 91,kutokana na maradhi ya njia ya hewa.

 

10 years ago

Mtanzania

Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

RIYADH, Saudi Arabia
MFALME wa Saudi Arabia, Abdullah bin Abdul-Aziz Al Saud (90), amefariki dunia jana na cheo chake kurithiwa mara moja na mdogo wake, Salman (79).
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la DW, Ofisi ya Kifalme haijataja sababu ya kifo cha Mfalme Abdullah, lakini habari zaidi zinadai kuwa kiongozi huyo alilazwa hospitali tangu Desemba mwaka jana kutokana na kusumbuliwa na homa ya mapafu ambapo kwa muda wote tangu akiwa hospitali alipumua kwa msaada wa mashine.
Mfalme Abdullah bin...

 

10 years ago

Michuzi

HISTORIA YAANDIKWA MJINI ADDIS ABABA- WHEN PRINCE OF SWAHILI BLUES MET THE LEGENDARY KING OF ETHIO JAZZ

 Hannival akipapasa zeze la Kihabeshi Timu kamili ya Ethio-Swahili  Fusion wakishambulia Juma Setumbi akipongezwa na mkongwe Dr Mulatu
Shabiki kutoka Brazil akimpongeza Dr Mulatu Leo Mkanyia akimkaribisha rasmi King of Ethio Jazz Dr Mulatu Dr Mulatu na Leo wakishambulia jukwaa Wadada wa Kihabeshi wakitwanga Swahili Blues kihabeshi habeshi
Dr Mulatu na Leo wakishambulia jukwaaMkongwe Dr Mulatu akimtoa kamasi Leo

Siku ya Jumamosi ya tarehe 4 April 2015 mjini Addis Ababa, historia iliandikwa pale...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Stergomena L. Tax amtembelea Mfalme (King) Mswati II swaziland

Mfalme  (King) Mswati II akimkaribisha Dkt. Stergomena L. Tax, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi Kusini mwa Afrika  (Southern African Development Cooperation - SADC) wakati wa Ziara ya kikazi ya Katibu Mtendaji nchini Swaziland. Katika Ziara hiyo, viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kutumia uhimilivu wa kisiasa uliofikiwa katika Kanda ya SADC kama muhimili muhimu katika kuongeza kasi ya kuendeleza maeneo yatakayochochea  maendeleo ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bingwa wa muziki wa Blues aaga dunia

B.B. King - ambaye anatambuliwa kuwa bingwa wa muziki aina ya Blues ulimwenguni amefariki akiwa na miaka 89.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

11 years ago

Mwananchi

Gurumo afariki dunia

>Mwanamuziki mkongwe pengine kuliko wote kwa sasa nchini na mwasisi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani