Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hosni Mubarak alikuwa nani? Rais wa Misri aliyengatulia madarakani aaga dunia akiwa na umri wa miaka 91.

Hosni Mubarak alikuwa jeshi lakini alijitolea sana kwa nchi yake kuhakikisha inakuwa na Amani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Rais wa Misri Hosni Mubarak afariki akiwa na umri wa miaka 91

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia hospitalini jijini Cairo akiwa na miaka 91.

Mubarak alidumu madarakani kwa miongo mitatu kabla ya kung'atuliwa jeshi baada ya maandamano makubwa ya raia.

Alikutwa na hatia ya kula njama katika mauaji ya waandamanaji wakati wa mapinduzi na kuwekwa kizuizini.

Hata hivyo, hatia hiyo iliondolewa na akaachiwa huru mwezi Machi 2017.

Kifo chake kimethibitishwa na Televisheni ya taifa ya Misri leo Jumanne. Mapema tovuti ya Al-Watan iliripoti kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia

Mubarak aliondolewa madarakani kwa mapinduzi 2011.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hosni Mubarak jela miaka 3

Rais aliyeondolewa madarakani nchini Misri, Hosni Mubarak amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.

 

11 years ago

GPL

HOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4

Hosni El Sayed Mubarak . Rais aliyeondolewa madarakani nchini Misri, Muhammad Hosni El Sayed Mubarak amehukumiwa jela miaka mitatu huku wanae wawili Alaa na Gamal wakifungwa miaka minne kila mmoja. Waendesha mashitaka wamesema kuwa Alaa na Gamal waliponda mamilioni ya dola ambazo ni pesa za umma zilizotengwa kukarabati ikulu ya Rais na badala yake wakafanyia ukarabati nyumba zao za kifahari. Watuhumiwa hao wametakiwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hosini Mubarak: Je alikuwa kiongozi wa aina gani Misri?

Hosni Mubarak alikuwa kiongozi aliyeunga mkono amani na Israel lakini akapinduliwa madarakani na raia wake.

 

5 years ago

Michuzi

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Kenny Rogers afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81

Msanii gwiji wa muziki wa Country nchini Marekani Kenny Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.

Mwakilishi wa familia yake amesema kuwa "amekufa kwa amani nyumbani kwa kifo cha kawaida".

Rogers alikua juu katika chati ya wanamuziki wa pop na country katika miaka ya 1970 na 1980 ,na alishinda tuzo tatu za -Grammy.

Akifahamika kwa sauti yake ya kipekee na yenye mvuto hasa katika nyimbo zake -The Gambler, Lucille na Coward Of The County, kazi yake ya muziki ilivuma kwa zaidi ya miongo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Ken Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81

Ken Rogers aliyefahamika kwa wimbo kama vile The Gambler, "ameacha historia siyoweza kufutika " katika muziki, imesema familia yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mubarak na wanawe wafungwa miaka 3 Misri

Mahakama ya uhalifu ya Misri imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitatu, kwa rais wa zamani, Hosni Mubarak, na watoto wake wawili

 

10 years ago

Mwananchi

Abraham Lincoln ni rais wa kwanza Marekani kuuawa akiwa madarakani

Tangu kuzinduliwa kwa Katiba ya Marekani mwaka 1787 na kupatikana Rais wa kwanza mwaka 1789, nchi hiyo imeshatawaliwa na marais 44. Barack Obama mwenye asili ya Afrika ndiye Rais wa sasa anayemaliza muhula wa mwisho. Aliingia Ikulu Januari 20, 2009.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani