Hosini Mubarak: Je alikuwa kiongozi wa aina gani Misri?
Hosni Mubarak alikuwa kiongozi aliyeunga mkono amani na Israel lakini akapinduliwa madarakani na raia wake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Hosni Mubarak alikuwa nani? Rais wa Misri aliyengatulia madarakani aaga dunia akiwa na umri wa miaka 91.
Hosni Mubarak alikuwa jeshi lakini alijitolea sana kwa nchi yake kuhakikisha inakuwa na Amani.
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
Mubarak:Raia waandamana Misri
Vikosi vya usalama nchini Misri vimepambana na waandamanaji 2000 karibu na eneo la Tahrir Square mjini Cairo.
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Wanawe Mubarak waachiliwa Misri
Wana wawili wa kiume wa aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak, wameondoka gerezani.
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Kiongozi wa shambulizi la Paris 'alikuwa mlevi'
Mshukiwa aliyeongoza mashambulio ya kigaidi mjini Paris Abdelhamid Abaaoud,alionekana akinywa pombe na kuvuta bangi na watu wengine nje ya nyumba yake.
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Raia Misri wapinga hukumu ya Mubarak
Polisi nchini Misri wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaopinga hatua ya mahakama nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili09 May
Mubarak na wanawe wafungwa miaka 3 Misri
Mahakama ya uhalifu ya Misri imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitatu, kwa rais wa zamani, Hosni Mubarak, na watoto wake wawili
11 years ago
BBCSwahili13 Aug
Mubarak akana kuamrisha mauaji Misri.
Aliyekuwa rais wa Misri Hosni Mubarak amekana kuamrisha mauaji ya waandamanji Misri mwaka wa 2011.
11 years ago
BBCSwahili27 Sep
Kesi ya Mubarak yaahirishwa nchini Misri
Kesi inayomkabili aliyekuwa rais wa Misri kuhusu mashtaka ya ufisadi na mauaji ya waandamanaji mwaka 2011 imeahirishwa.
10 years ago
GPL
WEWE NI RAFIKI WA AINA GANI?
Ukipenda usipende rafiki zako wamekuweka katika kundi fulani, unaweza kuwa na mtu ambaye rafiki zako wanakukumbuka kila mara kwa kukutakia mema, au unaweza kuwa aina ya rafiki ambaye rafiki zako wakikuona tu wanaanza kukutukana na kukulaani. Sasa wewe unajijua rafiki zako wamekuweka kundi gani? Inawezekana wewe ni aina ya rafiki ambaye unakumbukwa tu kama kukiwa na mnuso au watu wanataka kutoka out, hasa kama una pesa au...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania