Rais wa Misri Hosni Mubarak afariki akiwa na umri wa miaka 91
![](https://1.bp.blogspot.com/-3NXuNKEIr3w/XlV7pOcYN_I/AAAAAAALfbI/cr8nHaoci7EKesyVVV54D2O2jYichP09ACLcBGAsYHQ/s72-c/_111026786_44c51fd1-9752-4798-9abd-33e27c9ba0c5.jpg)
Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia hospitalini jijini Cairo akiwa na miaka 91.
Mubarak alidumu madarakani kwa miongo mitatu kabla ya kung'atuliwa jeshi baada ya maandamano makubwa ya raia.
Alikutwa na hatia ya kula njama katika mauaji ya waandamanaji wakati wa mapinduzi na kuwekwa kizuizini.
Hata hivyo, hatia hiyo iliondolewa na akaachiwa huru mwezi Machi 2017.
Kifo chake kimethibitishwa na Televisheni ya taifa ya Misri leo Jumanne. Mapema tovuti ya Al-Watan iliripoti kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Hosni Mubarak alikuwa nani? Rais wa Misri aliyengatulia madarakani aaga dunia akiwa na umri wa miaka 91.
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia
11 years ago
BBCSwahili21 May
Hosni Mubarak jela miaka 3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFU0w-AcvcR0yfXHZxJTPmATuaJCDs6-36u-6HQ7egblzi9bKYmKUv1G-g8jeU4ZWcBwJdBa4e-VTBmrcKK-7H1Z/hosni.jpg?width=650)
HOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7ZrxKHDDh9E/XnZiMeRW5KI/AAAAAAALkqg/0yhByVpa9FUJp3pSlr5HHeMNTmv3kXB-ACLcBGAsYHQ/s72-c/_111379616_gettyimages-544028466.jpg)
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Kenny Rogers afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
![](https://1.bp.blogspot.com/-7ZrxKHDDh9E/XnZiMeRW5KI/AAAAAAALkqg/0yhByVpa9FUJp3pSlr5HHeMNTmv3kXB-ACLcBGAsYHQ/s640/_111379616_gettyimages-544028466.jpg)
Mwakilishi wa familia yake amesema kuwa "amekufa kwa amani nyumbani kwa kifo cha kawaida".
Rogers alikua juu katika chati ya wanamuziki wa pop na country katika miaka ya 1970 na 1980 ,na alishinda tuzo tatu za -Grammy.
Akifahamika kwa sauti yake ya kipekee na yenye mvuto hasa katika nyimbo zake -The Gambler, Lucille na Coward Of The County, kazi yake ya muziki ilivuma kwa zaidi ya miongo...
10 years ago
BBCSwahili09 May
Mubarak na wanawe wafungwa miaka 3 Misri
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Watoto wa Hosni Mubarak kuachiliwa
10 years ago
Vijimambo17 Apr
AMBER ROSE ALIANZA KUKATA NYWELE AKIWA NA UMRI WA MIAKA 18
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/04/17/15/27A9F5C300000578-3043674-image-a-172_1429279259468.jpg)
Hapa ni TBT ya Amber Rose akiwa kinda la miaka 18 fresh kabisa kama punye ya kitunguu, Amber Rose anasema alianza kupenda kuwa na nywele fupi toka akiwa na umri huo hadi sasa ana umri wa miaka 33 anaendelea kuwa na nywele fupi na kuziweka rangi.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/04/17/15/2780012D00000578-3043674-image-m-176_1429279957815.jpg)
Then and now: The star is now 33 and dyes her famous buzz cut peroxide blonde
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Watoto wa Hosni Mubarak waachiliwa huru