Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMBER ROSE ALIANZA KUKATA NYWELE AKIWA NA UMRI WA MIAKA 18



Hapa ni TBT ya Amber Rose akiwa kinda la miaka 18 fresh kabisa kama punye ya kitunguu, Amber Rose anasema alianza kupenda kuwa na nywele fupi toka akiwa na umri huo hadi sasa ana umri wa miaka 33 anaendelea kuwa na nywele fupi na kuziweka rangi.
Then and now: The star is now 33 and dyes her famous buzz cut peroxide blonde 

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Amber Rose alimfumania Wiz Khalifa kitandani akiwa na wasichana wawili mapacha

Kwa mujibu wa mtangazaji wa Hot 97, Peter Rosenberg, Amber Rose alimfumania Wiz Khalifa akiwa kitandani na wasichana wawili mapacha. Rosenberg ambaye yeye na mke wake ni watu wa karibu na Amber amesema wasichana hao ni mapacha wanaofanana, waitwao Jas na Ness. Jass na Ness Wawili hao walionekana wakipiga picha na Wiz wiki mbili kabla […]

 

10 years ago

GPL

AMBER ROSE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA D'BANJ NCHINI NIGERIA

D'Banj akihojiwa. D'Banj akimnong'oneza jambo Amber Rose. Amber Rose na D'Banj katika…

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa Misri Hosni Mubarak afariki akiwa na umri wa miaka 91

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia hospitalini jijini Cairo akiwa na miaka 91.

Mubarak alidumu madarakani kwa miongo mitatu kabla ya kung'atuliwa jeshi baada ya maandamano makubwa ya raia.

Alikutwa na hatia ya kula njama katika mauaji ya waandamanaji wakati wa mapinduzi na kuwekwa kizuizini.

Hata hivyo, hatia hiyo iliondolewa na akaachiwa huru mwezi Machi 2017.

Kifo chake kimethibitishwa na Televisheni ya taifa ya Misri leo Jumanne. Mapema tovuti ya Al-Watan iliripoti kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rose: ‘Nilibakwa na umri wa miaka 14, video ikawekwa kwenye mtandao wa ngono’

Rose alipobakwa, ilimchukua miezi kadhaa kuomba mtandao wa ngono kuiondoa video hiyo mbaya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Ken Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81

Ken Rogers aliyefahamika kwa wimbo kama vile The Gambler, "ameacha historia siyoweza kufutika " katika muziki, imesema familia yake.

 

5 years ago

Michuzi

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Country Kenny Rogers afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81

Msanii gwiji wa muziki wa Country nchini Marekani Kenny Rogers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.

Mwakilishi wa familia yake amesema kuwa "amekufa kwa amani nyumbani kwa kifo cha kawaida".

Rogers alikua juu katika chati ya wanamuziki wa pop na country katika miaka ya 1970 na 1980 ,na alishinda tuzo tatu za -Grammy.

Akifahamika kwa sauti yake ya kipekee na yenye mvuto hasa katika nyimbo zake -The Gambler, Lucille na Coward Of The County, kazi yake ya muziki ilivuma kwa zaidi ya miongo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hosni Mubarak alikuwa nani? Rais wa Misri aliyengatulia madarakani aaga dunia akiwa na umri wa miaka 91.

Hosni Mubarak alikuwa jeshi lakini alijitolea sana kwa nchi yake kuhakikisha inakuwa na Amani.

 

10 years ago

Vijimambo

ELIMU HAINA MWISHO...BRIG GEN (RTD) ALAMBA NONDO ZA SHERIA LLB CHUO KIKUU HURIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 74

Generali Mstaafu P.S.Ligate Baba Mzazi wa akina Phanuel, Obed, Vupe na Guy Ligate akiwa Mwingi wa Furaha na Mkewe Mama Ligate Baada ya Kutunukiwa Shahada ya Sheria LLB Kutoka Chuo Kikuu Huria (Open Univeristy of Tanzania) Jijini Dar-es-Salaam Weekendi hii.Generali Mstaafu Ligate alianza masomo yake hayo kama changamoto tu baada ya kuhitimu madarasa yote ya BSF Bible Study na kujikuta bado anapenda kusoma na kujiweka busy akiwa kama mstaafu. Pamoja na umri wake kuwa mkubwa na kusumbuliwa na...

 

10 years ago

Michuzi

ELIMU HAINA MWISHO...BRIGEDIA JENERALI (RTD) LIGATE ALAMBA NONDOZZZ ZA SHERIA LLB CHUO KIKUU HURIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 74

Brigedia Jenerali i Mstaafu P.S.Ligate Baba Mzazi wa akina Phanuel, Obed, Vupe na Guy Ligate akiwa Mwingi wa Furaha na Mkewe Mama Ligate mara tu baada ya kutunukiwa Shahada ya Sheria (LLB) katika  Chuo Kikuu Huria (Open Univeristy of Tanzania) Jijini Dar es salaam wikiendi hii. Globu ya Jamii inatoa pongezi sana kwa baba yetu huyu ambaye ni mfano wa kuigwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani