ELIMU HAINA MWISHO...BRIGEDIA JENERALI (RTD) LIGATE ALAMBA NONDOZZZ ZA SHERIA LLB CHUO KIKUU HURIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 74
![](http://3.bp.blogspot.com/-cCNGY-qSHWA/VHtscAXIX2I/AAAAAAAG0Yw/C6bfq9tuZtU/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
Brigedia Jenerali i Mstaafu P.S.Ligate Baba Mzazi wa akina Phanuel, Obed, Vupe na Guy Ligate akiwa Mwingi wa Furaha na Mkewe Mama Ligate mara tu baada ya kutunukiwa Shahada ya Sheria (LLB) katika Chuo Kikuu Huria (Open Univeristy of Tanzania) Jijini Dar es salaam wikiendi hii. Globu ya Jamii inatoa pongezi sana kwa baba yetu huyu ambaye ni mfano wa kuigwa.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboELIMU HAINA MWISHO...BRIG GEN (RTD) ALAMBA NONDO ZA SHERIA LLB CHUO KIKUU HURIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 74
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-N6m45CtV57o/VIqMy3GwqpI/AAAAAAAG2rQ/cVbSXfAR4oM/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
MDAU NGULI CHIEF MKWAWA ALAMBA NONDOZZZ INGINE YA UZAMILI KUTOKA CHUO KIKUU HURIA
MDAU NGULI WA GLOBU YA JAMII MHANDISI MKWAWA AKA CHIEF AMELAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA UZAMILI KTK UONGOZI WA BIASHARA-MBA (FINANCE) KUTOKA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA. HII NI SHAHADA YA PILI YA UZAMILI KUTUNUKIWA MWAKA HUU WA 2014, BAADA YA ILE YA MASTER OF ENGINEERING SCIENCE (METALLURGY) KUTOKA CHUO KIKUU CHA CURTIN (WASM) NCHINI AUSTRALIA MWEZI AUGUST 2014.
Mhandisi Mkwawa akivalishwa shada la maua na mai waifu wake mamaa Warda muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili...
![](http://1.bp.blogspot.com/-N6m45CtV57o/VIqMy3GwqpI/AAAAAAAG2rQ/cVbSXfAR4oM/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RooJcNG9KFk/VH3YHrGIoYI/AAAAAAAG01o/grYZ9-MMmAY/s72-c/IMG-20141202-WA011.jpg)
Mpiganaji Godfrey Monyo wa ITV na RadioOne alamba Nondozzz yake katika Chuo Kikuu Huria jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-RooJcNG9KFk/VH3YHrGIoYI/AAAAAAAG01o/grYZ9-MMmAY/s1600/IMG-20141202-WA011.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-e0BaIHg1-MY/VH3YFj8rUWI/AAAAAAAG01Q/wV4fzXTTn50/s1600/IMG-20141202-WA007.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-7tiEgcbR72Q/VH3YFgv0a_I/AAAAAAAG01U/k1RtEinc7wI/s1600/IMG-20141202-WA008.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1mlyrdmGsu4/VH3YFi4Fu4I/AAAAAAAG01Y/tOUPqmeh7z8/s1600/IMG-20141202-WA009.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tgboL5SAURQ/VH3YHHFemOI/AAAAAAAG01k/Xk3tE9SCNmg/s1600/IMG-20141202-WA010.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-UefsBHp82RM/VMQbqeGPWoI/AAAAAAAAbY4/dSLuUk2L00U/s72-c/CHECHEMEA.jpg)
MTANZANIA WA MIAKA 74 AHITIMU SHAHADA YA SHERIA CHUO KIKUU HURIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UefsBHp82RM/VMQbqeGPWoI/AAAAAAAAbY4/dSLuUk2L00U/s640/CHECHEMEA.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qoXrJ7Bp7y0/VIqLW0KPD6I/AAAAAAAG2qs/Xb-zHQ4nzns/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
walimu wala nondozzz Chuo Kikuu Huria
![](http://1.bp.blogspot.com/-qoXrJ7Bp7y0/VIqLW0KPD6I/AAAAAAAG2qs/Xb-zHQ4nzns/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-bpcLWynsriM/VIqLXqU4QCI/AAAAAAAG2q0/P57ny0L4NYQ/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PitegS6w8tU/VH9AWkVBbOI/AAAAAAAG1Do/AGBzYfeMykk/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
wapiganaji walamba nondozzz Chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT)
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Science and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu. Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani. Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-v70FPmJmr2Q/VMP6GvRy8mI/AAAAAAAG_YI/g2WvsVrxHhM/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Mama Tunu Pinda ala nondozzz chuo kikuu huria tawi la dodoma
![](http://1.bp.blogspot.com/-v70FPmJmr2Q/VMP6GvRy8mI/AAAAAAAG_YI/g2WvsVrxHhM/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-siwWFMelG2A/VMP6G8srEDI/AAAAAAAG_YM/1c3Gwr_uJHE/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Iy0_sxOoC2U/VIBBqB5Y9ZI/AAAAAAAG1K4/UKe9rE8ej_k/s72-c/IMG-20141203-WA059.jpg)
Mdau Anne Kivembele alamba Nondozz yake katika Chuo Kikuu Huria jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-Iy0_sxOoC2U/VIBBqB5Y9ZI/AAAAAAAG1K4/UKe9rE8ej_k/s1600/IMG-20141203-WA059.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iCWDljc0IQY/VIBBl60gakI/AAAAAAAG1Kg/TQNOXCCNB2U/s1600/IMG-20141203-WA049.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nCoZjrA3V_g/VIBBnEYJd-I/AAAAAAAG1Ko/6gEzar5iTv4/s1600/IMG-20141203-WA054.jpg)
9 years ago
Michuzi18 Dec
MDAU SABINA LEONCE KOMBA ALAMBA NONDOZZ YAKE YA PILI KATIKA UONGOZI WA MIRADI CHUO KIKUU HURIA
![san2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/san2.jpg)
![san4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/san4.jpg)
![san5](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/san5.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania