Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANZANIA WA MIAKA 74 AHITIMU SHAHADA YA SHERIA CHUO KIKUU HURIA

Lazaro Ole Kipeyan akisaidiwa kwenda kutunukiwa Shahada ya Sheria wakati wa Mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) huko Dodoma.(picha: Sifa Lubai/Daily News)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mzee wa miaka 74 ahitimu shahada ya sheria

Waandishi Wetu, Mwananchi

 

10 years ago

Vijimambo

ELIMU HAINA MWISHO...BRIG GEN (RTD) ALAMBA NONDO ZA SHERIA LLB CHUO KIKUU HURIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 74

Generali Mstaafu P.S.Ligate Baba Mzazi wa akina Phanuel, Obed, Vupe na Guy Ligate akiwa Mwingi wa Furaha na Mkewe Mama Ligate Baada ya Kutunukiwa Shahada ya Sheria LLB Kutoka Chuo Kikuu Huria (Open Univeristy of Tanzania) Jijini Dar-es-Salaam Weekendi hii.Generali Mstaafu Ligate alianza masomo yake hayo kama changamoto tu baada ya kuhitimu madarasa yote ya BSF Bible Study na kujikuta bado anapenda kusoma na kujiweka busy akiwa kama mstaafu. Pamoja na umri wake kuwa mkubwa na kusumbuliwa na...

 

10 years ago

Michuzi

ELIMU HAINA MWISHO...BRIGEDIA JENERALI (RTD) LIGATE ALAMBA NONDOZZZ ZA SHERIA LLB CHUO KIKUU HURIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 74

Brigedia Jenerali i Mstaafu P.S.Ligate Baba Mzazi wa akina Phanuel, Obed, Vupe na Guy Ligate akiwa Mwingi wa Furaha na Mkewe Mama Ligate mara tu baada ya kutunukiwa Shahada ya Sheria (LLB) katika  Chuo Kikuu Huria (Open Univeristy of Tanzania) Jijini Dar es salaam wikiendi hii. Globu ya Jamii inatoa pongezi sana kwa baba yetu huyu ambaye ni mfano wa kuigwa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Sabina Leonce Komba atunukiwa Shahada yake ya pili katika Uongozi wa Miradi Chuo Kikuu Huria

san2

Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) akipozi kwa picha mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya pili (Masters) ya Uongozi wa Miradi aliyoipata Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwenye mahafali ya 27 ya chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu katika viwanja vya Bungo Kibaha mkoani Pwani.

san3

san4

Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akipozi kwa picha na wenzake katika mahafali hayo.

san5

Sabina Leonce Komba...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN MAALIM DR ALI AHMED SALEH ALAMBA NONDOZ YA SHAHADA YA UZAMIFU YA FALSAFA YA UDAKTARI (Phd) YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA(OUT)KATIKA MAHAFALI YA 29 HAPO TAREHE 16/12/15

BALOZI, MAALIM DR. ALI AHMED SALEH AKISIDINDIKIZWA NA MSIMAMIZI WAKE WA MASOMO(SUPERVISOR) PROF. HOSSEA RWEGOSHORA KUPOKEA SHAHADA YAKE YA PhD.

 

11 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 11 CHUO KIKUU HURIA MANYARA

 Baadhi ya wahitimu 70 wa mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, wakishiriki mahafali hayo juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.  Baadhi ya wahitimu 70 wa mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, wakishiriki mahafali hayo juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati.  Wapuliza tarumbeta wa shule ya sekondari Madunga Wilayani Babati wakiwa kwenye mahafali ya 11 ya Chuo kikuu huria cha Mkoani Manyara, juzi kwenye uwanja wa kwaraa mjini Babati. Picha ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yafana Rwanda

Na Mwandishi Wetu
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kimefanya mahafali yake ya 28 katika kituo cha uendeshaji kilichopo mjini Kibungo, Wilaya ya Ngoma nchini Rwanda.
Mahafali hayo yaliyofanyika Machi 20, mwaka huu yalihudhuriwa na wageni mbalimbali akiwamo Mkuu wa chuo hicho, Dk. Asha-Rose Migiro ambaye aliwatunuku wahitimu shahada mbalimbali.
Mahafali hayo yaliyohusisha wahitimu 25 wa shahada za uzamili, yamekuja baada ya kufanyika kwa mahafali ya 26 Novemba mwaka jana, Kibaha mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

walimu wala nondozzz Chuo Kikuu Huria

 ILIKUWA ni furaha isiyoelezeka pale Mwalimu Eliza Mhule wa Shule ya Msingi Mtoni , Manispaa ya Temeke pale alipotunukiwa shahada yake ya kwanza ya Ualimu iliyotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwenye Mahafali yalifanyika hivi karibuni katika mji mdogo wa Kibaha Mkoani Pwani hivi Karibuni. Katika picha Eliza yupo katika picha ya pamoja na watoto wake David Keasi (kushoto), Brian (katikati) na Aaron (kulia) Walimu wa Shule ya Msingi  Mtoni katika Manispaa ya Temeke wakiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani