Al-Maliki aweza kushtakiwa
Waziri mkuu wa zamani wa Iraq huenda akachukuliwa hatua za kisheria kwa mchango wake katika vita
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Jul
Wakurd wazozana na Maliki
Ugomvi baina ya waziri mkuu wa Iraq na wanasiasa wa eneo la Kurd unazidi kuwa mkubwa huku Wakurd wakitaka waombwe msamaha
11 years ago
BBCSwahili10 Aug
Maliki afaa kumpisha mwengine
Msemaji wa chama tawala cha Iraq asema maoni yanazidi nguvu chamani kuwa waziri mkuu, Nouri al Maliki, afaa kung'atuka
11 years ago
BBCSwahili15 Aug
Hatimaye Al Maliki akubali kukaa pembeni
Waziri mkuu wa Iraq aliyeondolewa madarakani Nouri Al Maliki, amekubali kuondoka madarakani na kumpisha Haider al-Abadi.
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
Rais wa Iraq hamtaki Nouri Maliki
Rais wa Iraq amemuudhi waziri mkuu wa sasa Nouri Maliki kwa kumwagiza mpinzani wake kuunda Serikali mpya.
11 years ago
BBCSwahili14 Jun
Maliki awatia shime makamanda wake
Rais Maliki wa Iraq afika mpaka wa mapigano kuwapa moyo na kuwatia shime makamanda wake wa jeshi mjini Samarra
11 years ago
TheCitizen25 Jun
No sign of surrender as Iraq’s Maliki fights for political life
In eight years in power, Iraq’s prime minister Nuri al-Maliki has never faced such a threat. Swathes of his country have fallen to Sunni insurgents. Rivals are seeking his downfall. Foreign sponsors in Washington and Tehran are wary or worse. Even friends are openly contemplating his demise.
11 years ago
GPL
ROSE NDAUKA AELEZA ALIVYOWAMWAGA WANAUME NA KUTULIA NA MALIKI
Makala: Hamida Hassan
KAMA kawa, leo katika Exclusive Interview tunaye mwigizaji Rose Ndauka ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kwenye maisha yake ya sanaa, amepitia mambo mengi ambayo yanasisimua, katika makala haya utayapata kwa ukamilifu wake: Mwigizaji maarufu wa filamu za kibongo Rose Ndauka akiwa na mumewe Maliki ALIVYOANZA KUIGIZA
Ilikuwa ni mwaka 2007, Dairekta na muigizaji wa filamu nchini, Single...
10 years ago
GPL
DIAMOND KUSHTAKIWA
Waandishi wetu
STAA wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’ ambaye aliwatelekeza watoto wawili alioahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, atashtakiwa mahakamani endapo wazazi wa vijana hao wataamua kufanya hivyo, Risasi Mchanganyiko limeelezwa. Staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’. Meneja wa msanii...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Lowassa kushtakiwa
Mgombea ubunge jimbo la Kyela, Dk Harrison Mwakyembe amesema moto wa kashfa ya mkataba wa kufua umeme wa dharura na kampuni ya Richmond haujazimika, hivyo mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anaweza kufunguliwa “kesi ya magendoâ€.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania