ROSE NDAUKA AELEZA ALIVYOWAMWAGA WANAUME NA KUTULIA NA MALIKI
![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0r9hX9nNzcNZN9quOkwTHZFCMm-QrBGNRmk03D6*XS-2PiPBU0KrQdAn*DnYtbuRqxUV7EysieAf-OdgnYTnFtr/rose.jpg)
Makala: Hamida Hassan KAMA kawa, leo katika Exclusive Interview tunaye mwigizaji Rose Ndauka ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.Kwenye maisha yake ya sanaa, amepitia mambo mengi ambayo yanasisimua, katika makala haya utayapata kwa ukamilifu wake: Mwigizaji maarufu wa filamu za kibongo Rose Ndauka akiwa na mumewe Maliki ALIVYOANZA KUIGIZA Ilikuwa ni mwaka 2007, Dairekta na muigizaji wa filamu nchini, Single...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMOGOwCVdJPFCq42uP62fgmZv4UVnldtXVwgaTP-seSKOdaZw7KMFAleFPbvlunXtE9vnDAtLKcV-Svz48*LWbCQ/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA: SIFAGILII WANAUME TENA
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZZBD8YLdGNM--jthscytZ1DZwMgTeVLw4J7C*ksRkqGcDCksC4VD115XWeZF36O3WKcWlWP3ktG5y-A5Zaf9I88/ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4*HlhbisNz6nt9-5LHlOq6tf*OGSTh5Z7-8pquj05OtNzVnd-UTr8RDNWQLOS0y9imxc157Xw67RY5exOgtEjl/ROSE.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI
10 years ago
Mtanzania05 May
Rose Ndauka apingana na mvua
Na Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.