ROSE NDAUKA: SIFAGILII WANAUME TENA
![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMOGOwCVdJPFCq42uP62fgmZv4UVnldtXVwgaTP-seSKOdaZw7KMFAleFPbvlunXtE9vnDAtLKcV-Svz48*LWbCQ/rose.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa fedha kiasi gani kwani mwenyewe anajitosheleza. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kipindi hiki hafagilii kabisa mambo ya mabwana na wala hahitaji mapedeshee kwa kuwa yeye mwenyewe ana uwezo wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0r9hX9nNzcNZN9quOkwTHZFCMm-QrBGNRmk03D6*XS-2PiPBU0KrQdAn*DnYtbuRqxUV7EysieAf-OdgnYTnFtr/rose.jpg)
ROSE NDAUKA AELEZA ALIVYOWAMWAGA WANAUME NA KUTULIA NA MALIKI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT1ipFtm1XxsohPAxOFXnZpdDrXjcy6-3SyfSa2QLOiJtqO2cELSYjwqPfdHw0FROoaAtTnTdLbLjTsUgbIT*lVI/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HATAKI TENA MWANAUME
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa5JIM1Nl7H-99Jo5MfuDSgHXkyJ5ZNEsKDqwKjKdW1bMdRoXSMDVVd*1JeGD-oFEc-OKpxQnXsli*Rw8wc2yALv/5.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA: SITAZAA TENA NJE YA NDOA
10 years ago
Bongo Movies06 Dec
MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa Tena?!!!!! Cheki Alichotupia Instagram
Msanii wa Bongo movie, Rose Ndauka ambae mama wa mtoto mmoja hivi majuzi aliwashtua followers wake kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM baada ya kutupia picha ya mkono wake ukiwa umevishwa pete ya uchumba kidoleni na kuandika alama ya za mshangao (!!!) na badaye kuweka tena picha ya mkebe wa pete pamoja na mkono ukiwa unapete kidoleni na kuandika (Mmmmmmmh#!)
Kitendo hiki kiliwafanya followers wengi kuachia comment za kumpongeza na LIKES za kutosha lakini hadi sasa Rose Ndauka...
10 years ago
Bongo Movies12 Dec
Rose Ndauka na Richie:Pamoja Tena!!! Kaa Mkao wa Kula
Ikiwa ni siku chache tu zimebakia tuuage mwaka 2014 na tuukaribishe mwaka wa 2015 Mungu akipenda. Waigizaji Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie ‘ waneonekana wakiwa "Location" wakitengeneza filamu mpya ambayo kwa mujibu wa Rose ndauka kazi hiyo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment na kuongozwa na Richie ambae ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.
Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa...
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA