Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROSE NDAUKA HATAKI TENA MWANAUME

Stori:  Gladness Mallya
SIKU chache baada ya uchumba wake kuvunjika, msanii wa filamu Bongo, Rose Ndauka amefunguka na kusema kuwa kwa sasa haitaji tena mwanaume kwani anajikita zaidi katika kufanya kazi. Msanii wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Rose alisema katika maisha yake ya uchumba alijifunza mambo mengi na anamshukuru Mungu amempa zawadi ya mtoto hivyo anafanya kazi kwa bidii ili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Rose Ndauka ataja sifa za mwanaume anayependa kuwa naye

Msanii wa filamu za Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. Mwigizaji huyo mrembo amevitaja vigezo vya mwanaume anayeweza kuwa naye hata kama hana uwezo wa kipesa. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa, mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea lakini si mwanamke ninayependa […]

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: SIFAGILII WANAUME TENA

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa fedha kiasi gani kwani mwenyewe anajitosheleza. Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kipindi hiki hafagilii kabisa mambo ya mabwana na wala hahitaji mapedeshee kwa kuwa yeye mwenyewe ana uwezo wa...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: SITAZAA TENA NJE YA NDOA

Stori: Laurent Samatta
DIVA wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa alikosea kuzaa nje ya ndoa, na sasa hana mpango huo tena. Rose alisema suala la ujauzito wakati mwingine linaweza kumjia mtu bila kupenda lakini kwa sasa atajitahidi kuona anazaa akiwa ndani ya ndoa. Diva wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka. “Lolote linaweza kutokea lakini kiukweli kwa sasa nitakuwa makini kidogo na ninamuomba Mungu anisaidie...

 

10 years ago

Bongo Movies

MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa Tena?!!!!! Cheki Alichotupia Instagram

Msanii wa Bongo movie, Rose Ndauka ambae mama wa mtoto mmoja  hivi majuzi aliwashtua followers wake kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM  baada ya kutupia picha ya mkono wake ukiwa umevishwa pete ya uchumba kidoleni na kuandika alama ya za mshangao (!!!) na badaye kuweka tena picha ya mkebe wa pete pamoja na mkono ukiwa unapete kidoleni na kuandika (Mmmmmmmh#!)

Kitendo hiki kiliwafanya followers wengi kuachia comment za kumpongeza na LIKES za kutosha lakini hadi sasa Rose Ndauka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Rose Ndauka na Richie:Pamoja Tena!!! Kaa Mkao wa Kula

Ikiwa ni siku chache tu zimebakia tuuage mwaka 2014 na tuukaribishe mwaka wa 2015 Mungu akipenda. Waigizaji  Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie ‘ waneonekana wakiwa "Location" wakitengeneza filamu mpya ambayo kwa mujibu wa Rose ndauka kazi hiyo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment na kuongozwa na Richie ambae ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.

Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika  kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa...

 

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

9 years ago

Mwananchi

Van Gaal asisitiza hataki kusajilio tena

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amebainisha kuwa hahitaji kukiongezea nguvu kikosi chake katika safu ya ushambuliaji baada ya timu yake kulazimishwa suluhu na Newcastle juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Van Gaal asisitiza hataki kusajili tena

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amebainisha kuwa hahitaji kukiongezea nguvu kikosi chake katika safu ya ushambuliaji baada ya timu yake kulazimishwa suluhu na Newcastle juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani