Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashirika ya ndege kushtakiwa Uingereza

Wahudumu wa ndege wanapanga kuyashtaki mashirika ya ndege ya Uingereza kwa kuathiriwa na hewa chafu ndani ya vyumba vya ndege.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA MASHIRIKA YA NDEGE WATAKA BARABARA YA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE IPANULIWE

Watendaji wa mashirika ya ndege nchini wameiomba Serikali kupanua Barabara ya Nyerere ili kuwawezesha abiria wanaosafiri kwa ndege kuwahi usafiri kufuatia ongezeko lao kubwa na la ndege pia linalotarajiwa  kufuatia kuwepo kwa jengo jipya la abiria (TB III) linalotarajiwa kukamilika mwaka 2016.
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa  ni moja ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yaonya mashirika ya ndege

Marekani imeonya mashirika ya ndege yanayoelekea Russia kuwa kunauwezekano wa magaidi kusafirisha vilupuzi kwa niya ya kuishambulia Sochi

 

10 years ago

Habarileo

Mashirika ya ndege yagomea viwanja

MASHIRIKA ya ndege nchini, yamedaiwa kukataa kutumia viwanja vidogo vya ndege katika baadhi ya mikoa, kwa sababu ya hofu ya kutofanya biashara na miundombinu mibovu, hivyo kuvifanya viwanja hivyo kutotumika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Athari za kiuchumi za mashirika ya ndege Afrika

IATA imesema madhara ya kiuchumi yanakuwa mabaya zaidi kwa mashirika ya ndege ya Afrika ambapo mwaka jana yalipata hasara ya pauni milioni 78.

 

9 years ago

Raia Mwema

Taa zakwamisha ndege za mashirika ya kimataifa kutua Songwe Airport

UWANJA wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya unafunga mwaka ukiwa na ongezeko la abiria takribani mara

Felix Mwakyembe

 

11 years ago

Michuzi

RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE

Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.DSC_0143Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Washiriki wa semina hiyo. Maofisa wa Air Rwanda wakiwa wamepozi kwa picha. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Five Star Tours, Harry Pietersen (kulia), akimkabidhi cheti, mshauri...

 

11 years ago

GPL

RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE‏

Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashirika ya ndege ya Boeing 747-8 sasa yaja na ‘jumba la kifahari’ angani

 

This Luxury Boeing 747-8 for the Super-Rich is a Palace in the SkyMost of us can’t afford to fly first-class, let alone buy our own jet. And even within that exclusive world, it’s a big step up from your standard private jet to a personalized Boeing 747-8. Greenpoint Technologies, of Kirkland, recently fitted out the industry’s first VIP 747-8 for a private, undisclosed client.Sehemu ya ndani chumbani kama inavyoonekana.

Na Andrew Chale wa Modewji blog, kwa msaada wa Mashirika ya Habari.

Huenda bado ujasikia juu ya baadhi ya ndege ndogo, za kati na zile kubwa zimekuja na mfumo mpya zaidi ndani ya ndege zao ikiwemo kutengeneza chumba cha kifahari ndani ya ndege kiasi cha kujiona kama upo nyumbani kwako kwenye jumba la kifahari.

rawimage-11

Ndege ya Gulfstream G650,  miongoni tu waliokuja na mfumo huo kwenye ndege yao hiyo ya usafiri wa anga kifahari, lakini kuna wachache...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Uingereza yaharibikia Nigeria

Ndege ya Uingereza iliyokuwa katika harakati za kutafuta zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara nchini Nigeria, imelazimika kutua nchini Senegal kutokana na hitilafu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani