Ndege ya Uingereza yaharibikia Nigeria
Ndege ya Uingereza iliyokuwa katika harakati za kutafuta zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara nchini Nigeria, imelazimika kutua nchini Senegal kutokana na hitilafu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Mashirika ya ndege kushtakiwa Uingereza
Wahudumu wa ndege wanapanga kuyashtaki mashirika ya ndege ya Uingereza kwa kuathiriwa na hewa chafu ndani ya vyumba vya ndege.
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Mafua ya ndege yathibitishwa Uingereza
Ugonjwa wa mafua ya ndege unachunguzwa katika shamba moja huko Yorkshire, Uingereza
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Uingereza:Mlipuko chanzo ajali ya ndege
Uingereza imetoa angalizo kwamba huenda mlipuko ndio uliosababisha ndege ya shirika la ndege la Urusi kuangukia nchini Misri.
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Misri yazuia ndege za shirika la Uingereza
Serikali ya Misri imesimamisha safari za shirika la ndege la Easyjet lililokuwa limepangiwa kuwasafirisha watu waliokwama Sharm el-Sheikh leo.
11 years ago
GPLRIYAMA CHUPUCHUPU AACHWE NA NDEGE KWENDA UINGEREZA
Muigizaji Issa Musa ‘Cloud 112’ akiwasili uwanjani hapo. Cloud akiwa anaburuza toroli lililobeba mabegi yake. Monalisa naye akiwasili uwanja wa…
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Uingereza yaahidi kusaidia Nigeria
Uingereza imetangaza kuwa itaongeza msaada wake wa kijeshi na kielimu kwa Nigeria ili kuisadia katika juhudi za kupambana na kundi la wanamgambo la Boko Haram.
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Uingereza yawafurusha raia 500 wa Nigeria
Wahamiaji hao 500 wametimuliwa na maafisa wa Uingereza baada ya kupatikana wakiishi nchini humo kinyume cha sheria.
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Ndege ya kijeshi yaanguka Nigeria
Helikopta ya kijeshi ya Nigeria imeanguka katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Ndege iliyobeba silaha yakamatwa Nigeria
Ndege ya mizigo iliyosheheni silaha za kivita imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kano nchini Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania