Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KASEJA KIVUTIO SIMBA


Kaseja kivutio Simba
Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania
KIPA Juma Kaseja, leo amekuwa kivutio kikubwa kwa wachezaji wa Simba waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM.Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania.
Kaseja ameiambia Goal yeye ni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Simba wa Tanzania kivutio maktaba ya Bush

ZAWADI mbalimbali ambazo Tanzania ilimpatia Rais wa 43 wa Marekani, George W Bush zimekuwa kivutio kwa watu wanaotembelea maktaba yake ya Kirais mjini Dallas, Jimbo la Texas, Marekani, ikiwa ni pamoja na Simba mkubwa na seti ya mkufu wa madini ya tanzanite.

 

10 years ago

Mwananchi

Boban, Kaseja kuitibulia Simba SC

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ na kipa Juma Kaseja ni miongoni mwa silaha za Mbeya City zilizoandaliwa kuiua timu ya Mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

Kaseja asilimia 90 kutua Simba

Kipa Juma Kaseja, anakaribia kurejea kwenye klabu yake ya zamani ya Simba baada ya uongozi wa klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi kupanga kukutana na meneja wa mchezaji huyo leo kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kutaka kumsajili, imeelezwa jana jijini Dar es Salaam.

Simba imeamua kufanya mazungumzo ya kumsajili Kaseja kutokana na ripoti ya Kocha Mkuu, Mzambia Patrick Phiri, iliyoeleza kuwa inahitaji kupata kipa mzoefu ambaye ataisaidia timu kupata matokeo mazuri.

Akizungumza na gazeti hili jana...

 

11 years ago

GPL

Kaseja: Waleteni hao Simba SC

Kipa mpya wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA mpya wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yupo tayari muda na wakati wowote kucheza mechi dhidi ya timu yake ya zamani, Simba. Kaseja ametoa kauli hiyo juzi Jumamosi mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Mtani Jembe itakayowakutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumamosi ijayo....

 

10 years ago

CloudsFM

Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.

Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.

 

11 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

10 years ago

GPL

40 YA MTOTO WA SANDRA KIVUTIO

Imelda Mtema SHEREHE ya kutimiza siku 40 tangu azaliwe mtoto wa msanii nyota wa Bongo Movies, Salama Salmini ‘Sandra’ aitwaye Khaliam zilikuwa kivutio baada ya kuhudhuriwa na mastaa na watu mbalimbali ilipofanyika nyumbani kwa wazazi wa msanii huyo, Tegeta Kibaoni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1hFA9ea ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtikila, Kingunge kivutio bungeni

WAJUMBE wawili wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombare-Mwiru (CCM) na Mchungaji Christopher Mtikila (DP), wamekuwa kivutio kwa wajumbe wenzao wakati wa kuapishwa kutokana na misimamo yao. Mtikila  amekuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja awa kivutio bungeni

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba juzi walishindwa kuzuia hisia zao za mapenzi na kuvutiwa na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, mara baada ya kutajwa jina lake kwenda kuapishwa. Ngeleja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani