Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba wa Tanzania kivutio maktaba ya Bush

ZAWADI mbalimbali ambazo Tanzania ilimpatia Rais wa 43 wa Marekani, George W Bush zimekuwa kivutio kwa watu wanaotembelea maktaba yake ya Kirais mjini Dallas, Jimbo la Texas, Marekani, ikiwa ni pamoja na Simba mkubwa na seti ya mkufu wa madini ya tanzanite.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) mjini Dallas,Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete walitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) na kujionea nafasi kubwa iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush alizipata katika ziara yake rasmi ya Tanzania wakati akiwa Rais wa Marekani. Maktaba hiyo ya kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la...

 

10 years ago

Michuzi

kutoka maktaba: simba iliyokuwa simba

 Vikosi vya Simba iliyokuwa Simba enzi hizo...

 

10 years ago

Vijimambo

KASEJA KIVUTIO SIMBA


Kaseja kivutio Simba
Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania
KIPA Juma Kaseja, leo amekuwa kivutio kikubwa kwa wachezaji wa Simba waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM.Mara baada ya kocha Goran Kopunovic kumaliza mazoezi ya asubuhi wachezaji wa Simba walimvamia kipa huyo na kuanza kumsalimia huku wengine wakimtania.
Kaseja ameiambia Goal yeye ni...

 

11 years ago

TheCitizen

Man hides in ‘a bush’? No; in ‘the bush’

In the January 19 edition of the Sunday tabloid that’s close to this columnist, there’s a photo on Page 3, whose caption reads: “Geita Primary School teacher … opens a toilet door which has been damaged by a recent downpour. Pupils answer to the call of nature in A NEARBY BUSH.”

 

11 years ago

Michuzi

DOCUMENTARY-TANZANIA; A JOURNEY WITHIN YAWA KIVUTIO, WENGI WAGUSWA NAYO

Tangazo la onesho la Documentary : Tanzania; a Journey within, kama linavyoneka siku ya ufunguzi wake hapo April 25 jiji New York , siku ambayo Jumuiya ya Kimataifa ilikuwa ikiadhimisha siku ya Malaria Duniani. Kwa mujibu wa waandaji wa Documetary hiyo ambayo wahusika wake wakuu ni dada wa Kimarekani Kristen Kenney na kaka wa kitanzania, Venance Ndibalema mapato yatokanayo na onesho la decumentary hiyo yanapelekwa kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa malaria nchi Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania imeshindwa kuzifanya nyayo za binadamu wa kale kivutio cha utalii

Kwa miaka 20 Tanzania imezifukia futi tano chini ya ardhi nyayo za binadamu wa kale na kupoteza mamilioni ya fedha ambazo zingepatikana kwa watalii kwenda kuziona

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzania yawa kivutio katika Maonyesho ya Afrika Mashariki yanayofanyika Nairobi Nchini Kenya

Ufunguzi wa maandamano ya maonyesho ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yajulikanayo kama JAMFEST yaliyoanza leo katika Viunga vya Ukumbi wa Kimataifa wa Kenyata uliopo jijini Nairobi Kenya.Muongozaji wa bendi ya polisi nchini Kenya akiongoza maandamano ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi zote za Afrika Mashariki zimeshiriki maonyesho hayo yanayoanza leo katika viunga vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyata.
Msafara wa uzinduzi wa maonyesho ya Jumuiya ya...

 

10 years ago

Michuzi

STAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO

Matron wa Kambi ya TMT 2014, Kemmy akichagua baadhi ya vitenge kwa Niaba ya Star Wa TMT 2014 Mwanaafa Mwinzago wakati alipopelekwa Kariakoo kwaajili ya Kununua Vitenge kama zawadi kwa wazazi wake.
Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya Kariakoo kwaajili ya kununua zawadi Kwaajili ya Wazazi wake.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

STAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO‏

Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya Kariakoo kwaajili ya kununua zawadi Kwaajili ya Wazazi wake. Mfanyakazi wa TMT, Happy Ngatunga (Kushoto) akitoa maelekezo kwa Mabaunsa na Mshindi wa TMT aliyejinyakulia Kitita Cha Shilingi milioni 50 katika fainali ya Tanzania Movie...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani