DOCUMENTARY-TANZANIA; A JOURNEY WITHIN YAWA KIVUTIO, WENGI WAGUSWA NAYO
Tangazo la onesho la Documentary : Tanzania; a Journey within, kama linavyoneka siku ya ufunguzi wake hapo April 25 jiji New York , siku ambayo Jumuiya ya Kimataifa ilikuwa ikiadhimisha siku ya Malaria Duniani. Kwa mujibu wa waandaji wa Documetary hiyo ambayo wahusika wake wakuu ni dada wa Kimarekani Kristen Kenney na kaka wa kitanzania, Venance Ndibalema mapato yatokanayo na onesho la decumentary hiyo yanapelekwa kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa malaria nchi Tanzania.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTanzania yawa kivutio katika Maonyesho ya Afrika Mashariki yanayofanyika Nairobi Nchini Kenya
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Sherehe za Muungano zafana, majeshi yawa kivutio
Patricia Kimelemeta na Jonas Mushi, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania kuadhimisha sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, huku vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa kivutio kikubwa.
Tofauti na ilivyozoelekea miaka yote ambako vikosi vya ulinzi na usalama huwa vinakuwa kundi moja tu vikiwa vimevalia sare maalumu za sherehe, jana kulikuwa na makundi mawili tofauti yakiwa na zana nyingi na za kisasa zinazotumika katika utendaji wa...
11 years ago
MichuziBAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014 YAWA KIVUTIO
![](http://1.bp.blogspot.com/-NzL1ALH5euA/U6g0TeEhNtI/AAAAAAAACLU/Wmg49u3Uv-Q/s1600/20140622_093848.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Ngoma ya asili ya Zanzibar yawa kivutio Oman
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Bi Hindi Hamadi Khamis katikati akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar wa Abeid Karume akisubiri kuwasili kwa Wajasiriamali, Wasanii na Waandishi wa Habari waliokuwa nchini Oman kwa ajili ya maonyesho ya Tamasha la Utamaduni yaliyofanyika nchini humo. (Picha na Miza Othman Maelezo, Zanzibar).
Na Ali Issa Maelezo-Zanzibar
Wasanii na Wajasiriamali kutoka Zanzibar...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/2-Ice_Ice_baby_The_singer_showcased_her_perfect_pout_with_cyan_col-m-25_1441941240434.jpg)
5 years ago
CCM BlogMIRADI YA ULGSP YAWA KIVUTIO KWA WAGENI MJI WA SUMBAWANGA
Katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanamgusa kila mwananchi katika mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imepewa dhamana ya kusimamia programu ya uimarishaji miji (Urban Local Government Support Program – ULGSP) kwaajili ya kuimarisha halmashauri 18 za miji na manispaa kwa ufadhili wa Benki ya...
5 years ago
MichuziMiradi ya ULGSP yawa kivutio kwa wageni katika mji wa Sumbwanga
Katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanamgusa kila mwananchi katika mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imepewa dhamana ya kusimamia programu ya uimarishaji miji (Urban Local Government Support Program – ULGSP) kwaajili ya kuimarisha halmashauri 18 za miji na manispaa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia.
Hivi karibuni (2.6.2020) Waziri wa OR – TAMISEMI Mh. Suleiman Jafo ametembelea miradi mitatu inayotekelezwa na...
11 years ago
GPLMAMLAKA YA HALI YA HEWA YAWA KIVUTIO KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO YA NANENANE MJINI DODOMA
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Irente View Point Lushoto Tanga, moja ya kivutio ambacho watu wengi hawajakitambua
![](http://1.bp.blogspot.com/-dtjYXbN6DjM/VmazhGF9MHI/AAAAAAAAed4/lJcHXIJJCGc/s640/IMG_20151124_075041.jpg)
Hapa ndipo kileleni na Mwonekano wa Irente.
![](http://3.bp.blogspot.com/-x3mrDjdW8XM/VmazWeKbkeI/AAAAAAAAecM/1y6XUJS32UI/s640/IMG_20151122_162435.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-3jlGt_ieQSg/VmazU82GkZI/AAAAAAAAeb8/J59yHAXhSa0/s640/IMG_20151123_174513.jpg)
Hii ni Miamba mikubwa iliyopo Irente na moja ya kivutio kikubwa katika eneo hili kwa upande kwa Kushoto.
![](http://3.bp.blogspot.com/-1VsnU8Z1Jrk/VmazckvBkwI/AAAAAAAAedE/2C2hMZI7Obo/s640/IMG_20151123_180041.jpg)
Eneo hili wakazi wa Irente wanaliita Pango ambapo watu wengi wanapenda kupigia picha.
![](http://3.bp.blogspot.com/-56xvjpvab8A/Vmazb5RCUlI/AAAAAAAAec8/ojfs2VV62og/s640/IMG_20151123_180020.jpg)
Hii ni njia ya kuelekea Pangoni.
![](http://3.bp.blogspot.com/-8vR2AGP8bkQ/VmazaxfPAnI/AAAAAAAAecw/EaFWt195f-E/s640/IMG_20151123_175809.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-8s-MG78k64s/VmazXClwMPI/AAAAAAAAecU/R9iKEZ4Raq0/s640/IMG_20151123_175750.jpg)
Ukiwa juu ndani ya Pango utaona hivi.
![](http://2.bp.blogspot.com/-hf9VgAxehnY/VmazeXKgzOI/AAAAAAAAedU/Ch8NVUbU9qI/s640/IMG_20151123_181054.jpg)
Mmoja wa walinzi akiandika akiwakatia risiti wageni mbalimbali waliotembelea eneo hilo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-gGX4kNblXvY/VmazVoM-ikI/AAAAAAAAecA/644l_RQ4q0w/s640/IMG_20151123_175237.jpg)
Mmoja wa wandishi wa Blogs za Mikoa Fredy Tony akiwa amefika kujionea eneo...